Tuliyaona kwa Dr. Mengi.
Tukayaona kwa Mrema.
Tukayaona kwa bilionea Msuya.
Tukayaona kwa Dr. Likwelile.
Tumeyasikia kwa Hans Pope.
Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele.
Ndipo hapa naona hakuna maana ya watu kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wao.
Usije na wimbo wa kwamba "watu waandike wosia kuukwepa hii migogoro.
Mzee Mengi aliacha wosia kabisa! Lakini wakware wakaitumia Mahakama kupangua alichokipanga marehemu.