malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Mafuta jini hiloToyota Crown aka Ndege ya chini. Njoo nikuuzie yangu.
Inagharimu kiasi ganiPremio new model ni chopa ya ardhini
πππMtu yoyote akikutajia rumion mtukane
Hapati kwa hiyo bei Boss.Premio new model ni chopa ya ardhini
Nunua gari la juu kidogo mkuu hizi gari za chini hazifai hasa kwenye mvua kila unakopita unalenga mwaka tu bampa lilishapigwa rangi na viraka vya kutosha unless unaishi tu down townHabari nimejiandaa na pesa hiyo nitapata gari gani nzuri kwa ajili ya matumizi yangu na familia?
Uliinunua shingap boss na unayomiaka mingap na nipremio ya mwaka ganiHapati kwa hiyo bei Boss.
Ila ni chuma moja tamu Sana inanipatia hadi 18km per L nikiwa highway huku mitaani ndo naokota 14km per L ngoja niendelee kuitunza initunze[emoji3]
Gari ya juu kama gari gani...miniko mkoani wilayaniNunua gari la juu kidogo mkuu hizi gari za chini hazifai hasa kwenye mvua kila unakopita unalenga mwaka tu bampa lilishapigwa rangi na viraka vya kutosha unless unaishi tu down town
Inauzwa Bei gani..nanichukue premio ya mwaka ganiChukua Premio hautajuta mzee
Sasa si ndo anakipokeaKiinua mgongo cha mtu hicho aseee dunian hakuna usawaa
πππKwa hiyo anaenda kula maweSasa si ndo anakipokea
Afu anainua mgongo wake kuustopisha na public transport π
π€£π€£ mpk anastaafu lazima alikuwa amefungua hata kaduka ka kuzugia.. atakulamo hapoπππKwa hiyo anaenda kula mawe