Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Achana na magari ya kizaman nunua toyota probox ya 2016/18 ni nzuri na inafaa kwa matumizi binafsi na familia lakin pia itakusaidia kubeba mizigo mikubwa na midogo

Acha izo gar za 2002/2009 izo kodi yake ni kubwa lakin pia technolojia yake niyakizaman sana

Mi nina probox ya2018 apa ofsn vijana wanabebea vtu wateja lakin pia huwa wanaitumia na familia zao hii gar ni ngumu na haili mafuta kbsa
 
Ni shilingi ngap hiyo probox
 
Habari nimejiandaa na pesa hiyo nitapata gari gani nzuri kwa ajili ya matumizi yangu na familia?
Utanishukuru baadae
Suzuki-SPresso-23-4.jpg
Suzuki-S-Presso-1.jpg
 
Mtu anaweza izarau probox kwamba ni gar ya mizigo ila ukwel ni kwamba matumizi ya gar uchangiwa na uwezo wa mtu kifedha

Mimi apa mtaani kwangu ninapoishi kuna mzee anatumia nissan xtrai kubebea majani ya ng’ombe na kuna mwingne apa mtaani kwangu ana toyota alphad anabebea mbao lakin pia kwa maelezo yake ni gar maalum kwajir ya kuendea misiban sabu inabeba watu weng
 
Acha bas kk
1.5L inakupa 14/18per lita?
Sio 1.5L ni 1.8L 2ZR-FE ni moja ya engine kali sana.

Mfano kwa Engine ya I.S.T iko juu kwa matumizi ya wese kwahiyo Engine ya 2ZR,pia inachanganya fasta na iko stable maana ukiwa 100 bado inakuomba na wala hauhisi sema wengine sio wapenda mambio na kwenye matuta ya kawaida hakuna haja ya kupunguza mwendo sana wala kuyakata mkasi japo usiseme kuliko gari flani,hapana yenyewe kama yenyewe inakupa unachotaka na kwa wakati sahihi.
 
Inashawishi , sema vijana crown imetuloga
 
Back
Top Bottom