Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Yard za Bongo wanauzia tamaa hadi 26 wanakupiga ila ukiagiza uwe na 21-23m mfukoni.

CIF-Umepambana sana 12m
KODI-Ukipata ya 2007 ndo nafuu ambayo ni 9m ila ukipata mwaka wa mbele zaidi kodi nayo inapanda na hazina tofauti (2007-2012)

OTHER CHARGES-500k to 600k hapo unakuwa umeitia mkononi
BIMA-Ni wewe sasa ubavu wako.
Ya mwaka 2007 new shape kwa yard hadi 28M inaenda..
 
Inagharimu kiasi gani
Hapo utapata Premio first generation (2002-2007). Ukitaka 2nd generation (2008+) angalau uwe na 21mil+

Kama ni gari ya familia, una options mbili kwa bajeti hiyo. Kuna Toyota Wish (2nd generation) yenye injini ya 2ZR-FE ambayo ipo kwenye Premio 2nd generation.

Pia unaweza kuangalia Toyota Noah ya 2012 yenye injini ya 3ZR-FE. Hii ina eco mode ambayo itasaidia gari kutumia mafuta kdg kama huisukumi aggressively. Usiende kwenye Noah zenye injini za 3S au 1AZ.
 
Achana na magari ya kizaman nunua toyota probox ya 2016/18 ni nzuri na inafaa kwa matumizi binafsi na familia lakin pia itakusaidia kubeba mizigo mikubwa na midogo

Acha izo gar za 2002/2009 izo kodi yake ni kubwa lakin pia technolojia yake niyakizaman sana

Mi nina probox ya2018 apa ofsn vijana wanabebea vtu wateja lakin pia huwa wanaitumia na familia zao hii gar ni ngumu na haili mafuta kbsa
Kama wewe sio mwongo mwongo tuoneshe gari za aina moja kwa miaka hiyo uliyotaja halafu uthibitishe hapa gari ya 2016/2018 yenye kodi kidogo kuliko gari hiyo hiyo ya 2002/2009.
 
Imebidi nijiridhishe. Ni kweli kwa baadhi ya gari. Hiyo Probox ya 2018 ushuru ni 7.3mil. Ila Voltz ya 2004 ushuru ni 7.8mil.

Concept ni kwamba PROBOX ya 2002/2009 kodi yake ni kubwa kuliko PROBOX ya 2016/2018??

AU
VOLTZ ya 2002/2009 kodi yake ni kubwa kuliko VOLTZ ya 2016/2018??
 
Concept ni kwamba PROBOX ya 2002/2009 kodi yake ni kubwa kuliko PROBOX ya 2016/2018??

AU
VOLTZ ya 2002/2009 kodi yake ni kubwa kuliko VOLTZ ya 2016/2018??
1. Ukilinganisha Probox ya 2018, na Voltz ya 2004, Voltz ina ushuru mkubwa kuliko Probox.

2. Probox ya 2010 ina ushuru mkubwa (7.6mil), huku Probox ya 2018 ina ushuru mdogo (7.3mil).
 
Back
Top Bottom