Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Hapo utapata Premio first generation (2002-2007). Ukitaka 2nd generation (2008+) angalau uwe na 21mil+

Kama ni gari ya familia, una options mbili kwa bajeti hiyo. Kuna Toyota Wish (2nd generation) yenye injini ya 2ZR-FE ambayo ipo kwenye Premio 2nd generation.

Pia unaweza kuangalia Toyota Noah ya 2012 yenye injini ya 3ZR-FE. Hii ina eco mode ambayo itasaidia gari kutumia mafuta kdg kama huisukumi aggressively. Usiende kwenye Noah zenye injini za 3S au 1AZ.
Bila shaka hata 2ZR-FE ina ECO MODE na hii ukiwa chini ya speed 80kph huwa inakaa ECO MODE na ina viudambwi dambwi kama ukiwa kona kali hivi inajipunguza speed au ukiwa kwenye down hill unaona gari inavuta hivi yaani haimwagiki labda mguu uweke kwenye Accelerator kwa hivi vigari vya kimasikini tusioweza miliki Madungu sio haba.

Note:Kuna Jamaa aliniambia CVT uta enjoy sana ila Nitunze nitakutunza😀, naishi humo nasikia hazitaki kuvusha service hata kidogo.
 
Yeah, niliiona pia Fielder nadhani ni ya 2008. Ila ilikuwa inamsumbua owner. Aliipeleka kufanya service. Wakatia oil ya traditional automatic transmission wkt ile ina CVT.
 
Mungu saidia Premio au Harrier muhimu sana hapo Harrier mafutaa oohoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ajiongeze mala 3 ya hiyo bajeti anunue Harrier Anaconda hybrid ile futa inanusa tu ya 1.9L aipate😀😀😀😀
 
Kama upo mkoani tena wilayani basi tafuta disco lc kuanzia 200 tafuta lc amazon tafuta mitsubishi pajero new model tafuta benz wagon tafuta navara tafuta surf yaani uskae kinyonge. Ninaekushahri natembelea tvs 125 star[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kwa mikoani tvs itakufa mapema bora ungechukua sunlg au haujoue
 
Achana na magari ya kizaman nunua toyota probox ya 2016/18 ni nzuri na inafaa kwa matumizi binafsi na familia lakin pia itakusaidia kubeba mizigo mikubwa na midogo

Acha izo gar za 2002/2009 izo kodi yake ni kubwa lakin pia technolojia yake niyakizaman sana

Mi nina probox ya2018 apa ofsn vijana wanabebea vtu wateja lakin pia huwa wanaitumia na familia zao hii gar ni ngumu na haili mafuta kbsa
Kama haili mafuta kabsaaa kwa hiyo inatumia maji??
 
Back
Top Bottom