Acha masihara babuu! Kweli? Kana muonekano mzuri aise?! Haiwekewi engine nyingine?Hamna gari mule kwa walio itumiaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha masihara babuu! Kweli? Kana muonekano mzuri aise?! Haiwekewi engine nyingine?Hamna gari mule kwa walio itumiaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila shaka hata 2ZR-FE ina ECO MODE na hii ukiwa chini ya speed 80kph huwa inakaa ECO MODE na ina viudambwi dambwi kama ukiwa kona kali hivi inajipunguza speed au ukiwa kwenye down hill unaona gari inavuta hivi yaani haimwagiki labda mguu uweke kwenye Accelerator kwa hivi vigari vya kimasikini tusioweza miliki Madungu sio haba.Hapo utapata Premio first generation (2002-2007). Ukitaka 2nd generation (2008+) angalau uwe na 21mil+
Kama ni gari ya familia, una options mbili kwa bajeti hiyo. Kuna Toyota Wish (2nd generation) yenye injini ya 2ZR-FE ambayo ipo kwenye Premio 2nd generation.
Pia unaweza kuangalia Toyota Noah ya 2012 yenye injini ya 3ZR-FE. Hii ina eco mode ambayo itasaidia gari kutumia mafuta kdg kama huisukumi aggressively. Usiende kwenye Noah zenye injini za 3S au 1AZ.
Sienta tena mkuu? Nilikuwa nayo kama two years back lakini siyo gari nzuri labda kwenye mafuta tuChukua toyota raum au toyota sienta hautajilaumu
Yeah, niliiona pia Fielder nadhani ni ya 2008. Ila ilikuwa inamsumbua owner. Aliipeleka kufanya service. Wakatia oil ya traditional automatic transmission wkt ile ina CVT.Bila shaka hata 2ZR-FE ina ECO MODE na hii ukiwa chini ya speed 80kph huwa inakaa ECO MODE na ina viudambwi dambwi kama ukiwa kona kali hivi inajipunguza speed au ukiwa kwenye down hill unaona gari inavuta hivi yaani haimwagiki labda mguu uweke kwenye Accelerator kwa hivi vigari vya kimasikini tusioweza miliki Madungu sio haba.
Note:Kuna Jamaa aliniambia CVT uta enjoy sana ila Nitunze nitakutunza😀, naishi humo nasikia hazitaki kuvusha service hata kidogo.
Hizi Garage zetu za Miembeni ndo shida unakuta dogo akishaijua spanner no. 10 na 14 anajiita fundi 😀Yeah, niliiona pia Fielder nadhani ni ya 2008. Ila ilikuwa inamsumbua owner. Aliipeleka kufanya service. Wakatia oil ya traditional automatic transmission wkt ile ina CVT.
Ajiongeze mala 3 ya hiyo bajeti anunue Harrier Anaconda hybrid ile futa inanusa tu ya 1.9L aipate😀😀😀😀Mungu saidia Premio au Harrier muhimu sana hapo Harrier mafutaa oohoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akikujibu nitagUliinunua shingap boss na unayomiaka mingap na nipremio ya mwaka gani
Nunua IST....utafanya uber ...pia
Kama upo mkoani tena wilayani basi tafuta disco lc kuanzia 200 tafuta lc amazon tafuta mitsubishi pajero new model tafuta benz wagon tafuta navara tafuta surf yaani uskae kinyonge. Ninaekushahri natembelea tvs 125 star[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinunue gari njoo nikuelekeze kilimo cha matikiti kinavyolipa ndani ya mwaka mmoja unatafuta gari ya million 150
PROBOX NCP 50 series ya mwaka 2002 kodi yake ni 5m+ halafu ya mwaka 2014 kodi yake ni 7m+1. Ukilinganisha Probox ya 2018, na Voltz ya 2004, Voltz ina ushuru mkubwa kuliko Probox.
2. Probox ya 2010 ina ushuru mkubwa (7.6mil), huku Probox ya 2018 ina ushuru mdogo (7.3mil).
Kama haili mafuta kabsaaa kwa hiyo inatumia maji??Achana na magari ya kizaman nunua toyota probox ya 2016/18 ni nzuri na inafaa kwa matumizi binafsi na familia lakin pia itakusaidia kubeba mizigo mikubwa na midogo
Acha izo gar za 2002/2009 izo kodi yake ni kubwa lakin pia technolojia yake niyakizaman sana
Mi nina probox ya2018 apa ofsn vijana wanabebea vtu wateja lakin pia huwa wanaitumia na familia zao hii gar ni ngumu na haili mafuta kbsa
Hahahah ife kisa nini? Na kwanini ife hizo haojue unatafuta matatizo ya mgongo tuMkuu kwa mikoani tvs itakufa mapema bora ungechukua sunlg au haujoue
Kuna kipindi nilienda Karagwe, Kagera nilikuta Premio ni daladala kama ilivyo probox(mchomoko) nazo pia daladala uko Tarime.Premio new model ni chopa ya ardhini
Mitsubushi OutlanderGari ya juu kama gari gani...miniko mkoani wilayani