Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Attachments

  • 20231104_164212.jpg
    20231104_164212.jpg
    1.2 MB · Views: 38
Kama upo mkoani tena wilayani basi tafuta disco lc kuanzia 200 tafuta lc amazon tafuta mitsubishi pajero new model tafuta benz wagon tafuta navara tafuta surf yaani uskae kinyonge. Ninaekushahri natembelea tvs 125 star😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom