Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Kwa milioni 18 napata gari gani nzuri?

Yard za Bongo wanauzia tamaa hadi 26 wanakupiga ila ukiagiza uwe na 21-23m mfukoni.

CIF-Umepambana sana 12m
KODI-Ukipata ya 2007 ndo nafuu ambayo ni 9m ila ukipata mwaka wa mbele zaidi kodi nayo inapanda na hazina tofauti (2007-2012)

OTHER CHARGES-500k to 600k hapo unakuwa umeitia mkononi
BIMA-Ni wewe sasa ubavu wako.
 
Back
Top Bottom