BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
But ina kipato long-termHapa bishara ya kupangisha ninapo hiona ni kichaa . Yani 70m unapata kila mwezi 240k, kwa mwaka 2,880,000 . Ni ujinga huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But ina kipato long-termHapa bishara ya kupangisha ninapo hiona ni kichaa . Yani 70m unapata kila mwezi 240k, kwa mwaka 2,880,000 . Ni ujinga huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo pesa angeweka UTT mfuko wa bond,kila mwezi ni 700k. Mtaji ukiwa umebaki pale pale..huna stressHapa bishara ya kupangisha ninapo hiona ni kichaa . Yani 70m unapata kila mwezi 240k, kwa mwaka 2,880,000 . Ni ujinga huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ni life time investment so usiipigie mahesabu ya mwaka mmoja.Real estate Kwa Tanzania hii hii.
Hiyo nyumba ya milion 30 labda kiwanja kiwepo.
Kuna nyumba huko chamazi na nje ya mji laki na nusu nyumba Kali.
Unatupa hiyo Hela unakuja kulipwa laki 2 Kwa mwezi sawa na milion 2.4 Kwa mwaka.
Kwa mfano tu wa huyo jama alijenga nyumba kwa 70m itachukua miaka 24 kurudisha mtaji. Hapo hatujaweka gharama za ukarabati wa nyumbaHyo pesa angeweka UTT mfuko wa bond,kila mwezi ni 700k. Mtaji ukiwa umebaki pale pale..huna stress
Hiyo ni akili ya uvivu. Kusubiri 240k kwa mtaji wa milioni 70. Wakati tu mtu anayefanya tu bishara ya bucha kwa mtaji ambao hauzidi milioni 10. Anaingiza faida kubwa kushinda ya mwenye nyumba.But ina kipato long-term
Wakati hiyo milion 70 nikiweka UTT Amis napata si chini ya laki 7 Kwa mwezi maisha yangu yote dunianiHapa bishara ya kupangisha ninapo hiona ni kichaa . Yani 70m unapata kila mwezi 240k, kwa mwaka 2,880,000 . Ni ujinga huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, milioni 30 unajenga nyumba ya namna gani, na kwa mji kama wa Dar, ikakamilika kuwa chanzo cha mapato? Eneo lipi?
Fanya uwanja unao tayari, boma unalisimamisha kwa 10m - 12m, ikianza kuongeo kiinglishi tu, 30 imekata na bado hujafikia kupangisha!
Atafute shughuli, awekeze angalau 12m, aone muelekeo, ikitiki, aongeze mtaji
Tambua Kwenye uwekezaji kuna hii principle "The higher the risk the higher the return" and the viče versa is true.Wakati hiyo milion 70 nikiweka UTT Amis napata si chini ya laki 7 Kwa mwezi maisha yangu yote duniani
Kajifunze maana ya INVESTMENT na BUSINESSTambua Kwenye uwekezaji kuna hii principle "The higher the risk the higher the return" and the viče versa is true.
And katika maisha kuna likes and dislikes za mtu. Watu wote hatuwezi kufanya vitu vinavyofanana wengine wanawekeza Kwenye majengo ya biashara, wengine viwanda , magari ,kilimo nđio dunia inavyokwenda .
Ila kusikiliza ushauri na uzoefu wa watu ni Jambo jema.
Ila ki ukweli uwekezaji wa majengo ni mojawapo wa uwekezaji mgumu, mkubwa na wa muda mrefu na ni uwekezaji unaoheshimika sana duniani na ndio umeijenga dunia na ndio maana sehemu nyingi duniani serikali na mataasisi makubwa ndiyo yana deal sana na real estate development.
Aidha Kwa wajasariamali wadogo Kwa nchi mbalimbali duniani ni sehemu nzuri ya kuhifadhi fedha katika mazingira ya hatari (risk) ndogo huku ukijihakikishia kipato cha uhakika bila kufanya kaži kubwa ukishamaliza kujenga au kununua na kupangisha (sustainable pasive income)
Kajifunze maana ya INVESTMENT na BUSINESS
Unachanganya mambo!
Narudia Tena kajifunze tofauti ya hizo terms 2
Ungesema hata ni scheme gani .tuijue.Hii hapa ndani ya miaka mitano nitakuwa na faida ya milion 22. View attachment 2884292
Hivi una uelewa kuhusu UTT au umeandika tuu unachojiskia...?Unataka stable income.
Wekeza kwenye nyumba ya kupanga
Tafuta location nzuri marketable au Ina projection nzuri siku za mbeleni.
Jenga vyumba vya kupanga self vikubwa. Uone kama. Utakosa Hela.
Nyumba itakupa pesa na pesa Yako unaiona hio hapo na unakuwa na option nyingi kama kukopea nyumba kuwekeza kwenye mradi mwingine na mkopo ukalipwa kwa nyumba husika ya kupanga.
Hizi UTT AMIS ni nzuri but Mimi binafsi nina mashaka nazo isije kuwa kama mambo ya Deci.
Uwekezaji wa
Fixed deposit account
Real estate
Treasury bonds
Ndio salama zaidi.
Utt ni scheme ambayo watu wa serikalini wanaousimamia wanaweza kutempa nao kama walivyoamua kucheza na scheme za social security Kwa kuamua kubadili formula .Hivi una uelewa kuhusu UTT au umeandika tuu unachojiskia...?
Sifanyi biashara isiyoweza kuniingizia atleast mil5 kwa mwezi sasa hiyo ya kuweka 30mil niingize laki3 mimi naona ni kifilisika mawazoNdio maana hujui kitu kuhusu Uwekezaji...kama hujui ni afadhali uulize uelimishwe...tangu lini utt ikawa kwa mstaafu?
Umri wa Mwisho kujiunga na UTT ni miaka 55 na huku kwetu mtu anastaafu akiwa na miaka 60....
Ujinga huu hapa sasa....!forex ndio kila kitu kuwa tajiri au kuwa maskini.uzuri mtaji usd 500
Endelea kuwa mjinga angalia tarehee kwanza we unaye jichangaUjinga huu hapa sasa....!
Hivi unajua kuwa UTT AMIS ni taasisi iliyopo chini ya wizara ya fedha? Unaanzaje kuifananisha na DECI au hauna taarifa jinsi gani inaoperate na aina ya mifuko yake? Kuwa na taarifa boss.Unataka stable income.
Wekeza kwenye nyumba ya kupanga
Tafuta location nzuri marketable au Ina projection nzuri siku za mbeleni.
Jenga vyumba vya kupanga self vikubwa. Uone kama. Utakosa Hela.
Nyumba itakupa pesa na pesa Yako unaiona hio hapo na unakuwa na option nyingi kama kukopea nyumba kuwekeza kwenye mradi mwingine na mkopo ukalipwa kwa nyumba husika ya kupanga.
Hizi UTT AMIS ni nzuri but Mimi binafsi nina mashaka nazo isije kuwa kama mambo ya Deci.
Uwekezaji wa
Fixed deposit account
Real estate
Treasury bonds
Ndio salama zaidi.
hivi unafahamu kwamba mifuko ya hifadhi ya Jamii Pssf na nssf ipo chini ya wizara hiyohiyo je unafahamu kitu chochote kuhusu kikokoto no fao la kujitoa?Hivi unajua kuwa UTT AMIS ni taasisi iliyopo chini ya wizara ya fedha? Unaanzaje kuifananisha na DECI au hauna taarifa jinsi gani inaoperate na aina ya mifuko yake? Kuwa na taarifa boss.
Vipande (Mutual fund) sio hisa (shares) japo kwenye kuporomoka upo sahihi.Una elimu kuhusu utt amis ,nakushauri tafuta elimu .....Utts amis sio risk mda mwingine ...Kuna jopo la watu wanawekeza bila ya kuwa na akili.
Hizo ni hisa zinaweza kuporomoka kabisa.