Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Kuielewa huu ushauri wa jamaa lazima uwe na akili kubwa, yaani kipato cha laki nane unataka ununue gari, tena kwa milioni 4?? Vijana mna tabu sana aisee
Wewe ndio masikini mkuu

Hujui hiyo 4m nimeipataje,,
 
Nunua bajaji ukiwa unakwenda kazini unalamba vichwa ukiwa unarudi nyumbani unakula vichwa
 
Mkuu unataka nimiliki gari nikiwa na kipato kiasi gani kwa mwezi
 
Acheni mambo ya ajabu, kinachotakiwa ni ushauri wa gari itakayopatikana kwa bei hiyo, sio mambo mengine.
Gari ni usafiri na sio utajiri, wabongo tulielewe hili.
 
Namba E zikianza tutanunua IST kwa bei kitonga sana yani 😂 maana zipo za kutosha yani!

Yani wenye D watapambana waziuze kwa namna yeyote ili wahamie namba E. Sio mbali ni Mwezi wa 6 mwakani hapo.
 
Ukikaa na kutulia, usiwe na papara/haraka, hususan kwa kipindi hiki cha kwenda mwezi wa 12-02 utapata gari nzuri isio na stress. Hata carina Ti ilio safi unaweza kuipata.
Kuelekea mwanzoni mwa mwaka magari hua bei chini.
 
Namba E zikianza tutanunua IST kwa bei kitonga sana yani 😂 maana zipo za kutosha yani!

Yani wenye D watapambana waziuze kwa namna yeyote ili wahamie namba E. Sio mbali ni Mwezi wa 6 mwakani hapo.
Namba 'E' tuitarajie mwezi September 2022. Fikiria November 2020 tulikua DU Sasa November 2021 bado tupo DX....
 
Namba E zikianza tutanunua IST kwa bei kitonga sana yani 😂 maana zipo za kutosha yani!

Yani wenye D watapambana waziuze kwa namna yeyote ili wahamie namba E. Sio mbali ni Mwezi wa 6 mwakani hapo.
Mi nasubiria E itoke ikitoka nanua D then nafanya msesereko wa kubadili jina la kadi na kusajiriwa no. E kuhusu muonekano wachina watafanya yao.
 
Mark 2 chaser number A
 
Kuielewa huu ushauri wa jamaa lazima uwe na akili kubwa, yaani kipato cha laki nane unataka ununue gari, tena kwa milioni 4?? Vijana mna tabu sana aisee
Mtu anayetakiwa kununua gari anatakiwa awe na kipato cha milioni ngapi kwa mwezi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…