Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Kwani bado mleta mada hujapata gari tu...tupe mrejesho
 
Nakupa odd 5 za uhakika weka mzigo wote, then kesho agiza HILLUX
 
Gari zipo kibao kwa pesa yako 4M na laki 8 una oppa brevis nzuri tu zenye plate namba DB, DD, DC
I'll usipagawe na millage .....

Tem ele
 
Mi nakushauri kwa hela hiyo unaweza kupata HONDA FIT AU MAZDA DEMIO Kali sana na ukabaki na chenji ya kutosha ,but do not trust any one in JF Kuna watu wanajidai Wana huruma wanataka kukusaidia watakuingiza Chaka na KUTAPELI , kikubwa Tafuta fundi km jitu la miraba minne akusaidie kukagua Gari Yako unayoitaka achana na opper au Passo zitakupa preasure
 
4m Huna option ndugu. Lolote wewe chukua tu.
***Hofu yangu bajeti ya mafuta hutaiweza.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…