Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Kwa milioni 4 ninunue gari gani iliyotumika?

Kwani bado mleta mada hujapata gari tu...tupe mrejesho
 
Kuna mdau anaisukuma hii kwa budget yako hiyo gari ya biashara.

Eti anakwambia haijatumika sana [emoji2][emoji2]
3032259_WhatsApp_Image_2021-12-03_at_17.28.07_1.jpg
3032260_WhatsApp_Image_2021-12-03_at_17.28.07.jpg
 
Nakupa odd 5 za uhakika weka mzigo wote, then kesho agiza HILLUX
 
Gari zipo kibao kwa pesa yako 4M na laki 8 una oppa brevis nzuri tu zenye plate namba DB, DD, DC
I'll usipagawe na millage .....

Tem ele
 
Mi nakushauri kwa hela hiyo unaweza kupata HONDA FIT AU MAZDA DEMIO Kali sana na ukabaki na chenji ya kutosha ,but do not trust any one in JF Kuna watu wanajidai Wana huruma wanataka kukusaidia watakuingiza Chaka na KUTAPELI , kikubwa Tafuta fundi km jitu la miraba minne akusaidie kukagua Gari Yako unayoitaka achana na opper au Passo zitakupa preasure
 
Back
Top Bottom