Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

Mbona kakaa kawaida tu? Kafanywa awe comfortable na mwenyeji wake.

Kumbuka, Mbowe n Mama Samia hawajaanza kujuana leo au jana, walikuwa wote bungeni kwa miaka mingi sana, ni watu wanaojuana vyema.

Once a system always asystem.
Sasa ni rais tena rais wetu
 
Mbona kakaa kawaida tu? Kafanywa awe comfortable na mwenyeji wake.

Kumbuka, Mbowe n Mama Samia hawajaanza kujuana leo au jana, walikuwa wote bungeni kwa miaka mingi sana, ni watu wanaojuana vyema.

Once a system always asystem.
Gesture ya Mama Samia imemfanya Mbowe awe huru. Ni picha ambayo inaonyesha kuwa hakuna uadui au chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…