Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

Kwa muislam ambao wanafuata mila za kiarabu kumuonyesha mtu sore ya kiatu ni kumdharau. Rais Samia licha ya kuwa Rais ni muislam pia kumbuka. Unakumbuka yule mwandishi wa habari aliyemrushia Rais Bush kiatu wakati wa mktano wake na waandishi wa habari?

new fact.....mbowe kamuonesha kwamba nimekukanyaga nimekunyoosha
 
Mbona kakaa kawaida tu? Kafanywa awe comfortable na mwenyeji wake.

Kumbuka, Mbowe n Mama Samia hawajaanza kujuana leo au jana, walikuwa wote bungeni kwa miaka mingi sana, ni watu wanaojuana vyema.

Once a system always asystem.
Naomba jibu langu jaman kuwa na huruma
 
Mtoa mada ni heri ungepotea kwa nyeto tu.
Sema tu mzee wako hajasota boarding schools, ungwpotezwa ili tusiuone upumbavu wako.
Mikondoo nyie
 
Kwani katiba inasemaje?tuanzie hapo kwanza kiongozi
 
Mbona kakaa kawaida tu? Kafanywa awe comfortable na mwenyeji wake.

Kumbuka, Mbowe n Mama Samia hawajaanza kujuana leo au jana, walikuwa wote bungeni kwa miaka mingi sana, ni watu wanaojuana vyema.

Once a system always asystem.
Mtoa mada mchonganishi mama Samia kwa hii ID yake fake hapa hajalalamika 🤣
 
Back
Top Bottom