Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

Mawaziri wametolewa bastola hadharani, watu maarufu wameingiliwa na maaskari wenye silaha makazini mwao. Watu wenye mali zao wametiwa jela bila sababu za msingi.

Sasa nani angethubutu kunyanyua mdomo wakati ule?

Mimi binafsi nillingia mitini, hata JF nikawa sichangii chochote. Mwenye nguvu mpishe apite.

AlhamduliLlah, ukweli ni kuwa hakuna ambae hajashusha pumzi isipokuwa wale wachache waliofaidika kwa kujipendekeza wakati ule, sasa inawanyeshea.

Hamuulizi Makonda yuko wapi?

Hivi yule kijana aliyemtolea Nape bastola yuko wapi?

Hivi Ndugai yuko wapi?

Bi Mkubwa leo umetema madini.
 
Hii posture hata mimi awali nilikuwa ninadhani kuwa haiko sawa. Hata hivyo uchunguzi wangu umekuja kunionyesha kuwa ni watu wengi tu wanaotumia posture hiyo wanapokuwa Ikulu, wakiwemo mabalozi wapya wanapokuwa wameenda Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati zao za utambulisho
Hii posture haina shida, inaruhusiwa tena kimataifa!

cc: Xwake
 
Mbona kakaa kawaida tu? Kafanywa awe comfortable na mwenyeji wake.

Kumbuka, Mbowe n Mama Samia hawajaanza kujuana leo au jana, walikuwa wote bungeni kwa miaka mingi sana, ni watu wanaojuana vyema.

Once a system always asystem.
Hapo unaposema once a system always a system unamaanisha nini!?
 
unaweza kuta jogoo kapanda mtungi so ni njia ya kuzuia asije kuharibu,kukaa sero muda wote huo sio mchezo...
 
Watakushambulia maana hawajui kuwa:

Across cultures, crossing legs is seen as disrespectful and rude or casual at the very least. Body language-wise, crossing the legs in front of someone is seen as establishing dominance and displaying confidence. Coupled with crossed arms, though, it projects being closed to the interaction at hand.

Asante mkuu. Wanashambulia kwenye keyboard huku wajifunza kitu kwa mioyo yao na akili zao. Kwa maana elimu ya body language siyo kwa kila mtu
 
Hii posture hata mimi awali nilikuwa ninadhani kuwa haiko sawa. Hata hivyo uchunguzi wangu umekuja kunionyesha kuwa ni watu wengi tu wanaotumia posture hiyo wanapokuwa Ikulu, wakiwemo mabalozi wapya wanapokuwa wameenda Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati zao za utambulisho
Hii posture haina shida, inaruhusiwa tena kimataifa!

cc: Xwake
Wala
 
Duuh....! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]...! Watu wakorofi. Kwa hiyo hapo ni kama amejiachia sana?
 
Back
Top Bottom