Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawaziri wametolewa bastola hadharani, watu maarufu wameingiliwa na maaskari wenye silaha makazini mwao. Watu wenye mali zao wametiwa jela bila sababu za msingi.Yale yale- mbona hukusema wakati ule
kumbe ndio maana hukuwa faiza yule tuliemzoeaMawaziri wametolewa bastola hadharani, watu maarufu wameingiliwa na maaskari wenye silaha makazini mwao. Watu wenye mali zao wametiwa jela bila sababu za msingi.
Sasa nani angethubutu kunyanyua mdomo wakati ule?
Mimi binafsi nillingia mitini, hata JF nikawa sichangii chochote. Mwenye nguvu mpishe apite.
AlhamduliLlah, ukweli ni kuwa hakuna ambae hajashusha pumzi isipokuwa wale wachache waliofaidika kwa kujipendekeza wakati ule, sasa inawanyeshea.
Hamuulizi Makonda yuko wapi?
Hivi yule kijana aliyemtolea Nape bastola yuko wapi?
Hivi Ndugai yuko wapi?
Mzilankende MnyagoHujui kuna wengine waliwahi kuambiwa wanataka kupanuliwa wapi na mkaona sawa?
View attachment 2142476
Kuna udaku humu JF unasema mama Samia alishamtembelea Mbowe Ukonga, siku mbili tatu kabla hajaachiwaa. Ya JF changanya na yako.Gesture ya Mama Samia imemfanya Mbowe awe huru. Ni picha ambayo inaonyesha kuwa hakuna uadui au chuki.
Ina maana huyu chawa mpiga dili wa NCAA yeye amkosei PM kwa mkao wake wa kubinua kimbwinde chake hewani.?
Kwa muislam ambao wanafuata mila za kiarabu kumuonyesha mtu sore ya kiatu ni kumdharau. Rais Samia licha ya kuwa Rais ni muislam pia kumbuka. Unakumbuka yule mwandishi wa habari aliyemrushia Rais Bush kiatu wakati wa mktano wake na waandishi wa habari?Hajamkosea abubakar kakunja nne mguu sahihi wakiislam ingekua wakikristu angekuja 4 ya mguu wakulia
Thast defines how small is your mind, think big not smallsmall things are the one which make things happen or not happen
Ulitaka akaeje??.Kwa mkao huu Mbowe kamdharau rais
Kwa hiyo??.Sasa ni rais tena rais wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana huyu chawa mpiga dili wa NCAA yeye amkosei PM kwa mkao wake wa kubinua kimbwinde chake hewani.?
Pumbavu!
View attachment 2142571