Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

Mawaziri wametolewa bastola hadharani, watu maarufu wameingiliwa na maaskari wenye silaha makazini mwao. Watu wenye mali zao wametiwa jela bila sababu za msingi.

Sasa nani angethubutu kunyanyua mdomo wakati ule?

Mimi binafsi nillingia mitini, hata JF nikawa sichangii chochote. Mwenye nguvu mpishe apite.

AlhamduliLlah, ukweli ni kuwa hakuna ambae hajashusha pumzi isipokuwa wale wachache waliofaidika kwa kujipendekeza wakati ule, sasa inawanyeshea.

Hamuulizi Makonda yuko wapi?

Hivi yule kijana aliyemtolea Nape bastola yuko wapi?

Hivi Ndugai yuko wapi?
Kuwe na ukweli.Alipoingia madarakani ulimsifu mnoo!Nakumbuka sana.
 
Back
Top Bottom