Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Nchi Ngumu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapohapoHilo crane la tani 26 liko wapi?
Mmeambiwa hapo juu, Makamba anakuja nalo toka Lushoto, tena lina maji yake!Nakazia hapohapo
Ahahahahaa, hivi walisema nje ya nchi au nje ya dunia?Maji yanaweza kujazwa hata kwa muda wa miaka miwili, sio kwamba yanajazwa leo kesho yamejaa; anyway, mimi ninachotaka kujua, hilo Crane liko wapi ili tuanze kujaza maji hilo bwawa? Wameliagiza sayari ipi? Jupiter au Mars?
That muthafuqa is Dumb! No disrespect but thats how it happens to beMakamba is a novice!
Linakuja Ndio Wanalitengeneza Itakuwa Walituma Special Order Kwa Manufacturer Kabisa.Crane la tani 26 liko wapi jamani?
kwahiyo kazi imesimama au inaendelea?Mkuu usipojua kinaendelea nini huko Stiglaz, unaonekana irrelevant. Crane haihitajiki kule, na kinachosubiriwa ni mageti ya kuzuia maji, na hilo halijazuia kazi ya ujenzi wa bwawa kuendelea.
Halafu ni la kukodi au sio? Ushawahi kusikia mtu kajenga nyumba halafu milango ya vyumbani ni ya kukodi? 😂😂Linakuja Ndio Wanalitengeneza Itakuwa Walituma Special Order Kwa Manufacturer Kabisa.
Eti jamani, kuna crane la tani 26 tuliambiwa ndio kikwazo cha kuanza kujaza maji kwenye Bwawa la Rufiji na limeagizwa toka nje ya nchi; Hivi mliposema nje ya nchi mlimaanisha nje ya sayari hii au ni vipi?
Miezi mingapi inahitajika kulileta hilo crane ambalo nchi nzima hii hakuna? Naomba majibu tafadhali
Ni kubwa mno hakuna chombo kinaweza kuibeba, sasa wameanza kuiendesha polepole kutoka asia nafikiri Korea kufika bongo kama miezi nane au tisa kulingana na hali njiani.Eti jamani, kuna crane la tani 26 tuliambiwa ndio kikwazo cha kuanza kujaza maji kwenye Bwawa la Rufiji na limeagizwa toka nje ya nchi; Hivi mliposema nje ya nchi mlimaanisha nje ya sayari hii au ni vipi?
Miezi mingapi inahitajika kulileta hilo crane ambalo nchi nzima hii hakuna? Naomba majibu tafadhali
Daaah, aiseee..., hivi tulipataje serikali ya namna hii?! Tulikubalije?!Ni kubwa mno hakuna chombo kinaweza kuibeba, sasa wameanza kuiendesha polepole kutoka asia nafikiri Korea kufika bongo kama miezi nane au tisa kulingana na hali njiani.
We Amini Linakuja Mengine Waachie Wenyewe.Halafu ni la kukodi au sio? Ushawahi kusikia mtu kajenga nyumba halafu milango ya vyumbani ni ya kukodi? [emoji23][emoji23]
Anyway, hilo crane hadi leo hii liko wapi?
Sasa linakuja lini, Tanesco walisema mwezi wa kwanza , huu ni wa pili, hadi leo liko wapi?! Halafu tunakodi ili iweje , na kwanini?We Amini Linakuja Mengine Waachie Wenyewe.