Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Ruby Rose, this amazing lady ananikosha sana, jinsi alivyo fight kuanzia kwenye model mpaka kuingia hollywood kutoka nchini Australia, jinsi anavyojikubali na yuko very humbled.
 
Huyo kwenye i.d

Ni solver nguli

Ambaye hakuwa na demu

You gotch ma point
Man like Nikola Tesla.Mvumbuzi muhimu zaidi wa zama zetu asiyepewa heshima inayostahili,alitakiwa afundishwe mashuleni na vyuoni badala yake tunafundishwa zaidi kuhusu wahuni kama hitler,darwin ma wengineo
 
Kweli kiswahili unakifahamu.
ivyo......hivyo
 
mimi nilichukizwa na jinsi viwango vya ufaulu vilipoanza kubadilishwa na viongozi walipokua wafanya masihara na elimu ndo nikaamua kuitumia na kila nikiitizama nazidi chukia
 
Yangu inasadifu jina. Wakati najiunga jf ilikuwa mida ya usiku sana huku nikiwa kazini. Niliwaza ninavyopambana hadi mida 'mibovu' nikajikuta nimeandika SaaMbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…