Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Ruby Rose, this amazing lady ananikosha sana, jinsi alivyo fight kuanzia kwenye model mpaka kuingia hollywood kutoka nchini Australia, jinsi anavyojikubali na yuko very humbled.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man like Nikola Tesla.Mvumbuzi muhimu zaidi wa zama zetu asiyepewa heshima inayostahili,alitakiwa afundishwe mashuleni na vyuoni badala yake tunafundishwa zaidi kuhusu wahuni kama hitler,darwin ma wengineoHuyo kwenye i.d
Ni solver nguli
Ambaye hakuwa na demu
You gotch ma point
Kweli kiswahili unakifahamu.Huyo kwa avatar yangu ni Shaaban Robert, Baba wa kiswahili. Napenda kiswahili lugha poa sana ndio lugha yangu ya kwanza kuijua(fikra halisi huja kwa lugha asili), sipendi zile " xawa, tantee, jomoni, vepe, na zingine kama izo" Hua namuona fala sana anae andika au kuongea ivo
sema kidogoMe sisemi sana...kila kitu kinajieleza..teh teh
aah cheupeNimejiweka mwenyewe
Huyo ni Rodrigo Durtethe.Yakwangu ni rais wa nchi flani yeye anaamini kwamba mungu hayupo,, nimwonapo nauona ukuu wa mungu japo yeye anaamini kuwa mungu hayupo.
Ungekuwa unajikubali usingeficha sura madame,,Hiyo avatar ni mimi mwenyewe...nimejificha sura maana naona aibu sana.
Hapo nilikuwa bar Arusha napata moja moto moja baridi.
Najikubali...ndio maana nimejiweka
Pm ipo wazi babe zamani sanaFungua pm basi babee
Me sisemi sana...kila kitu kinajieleza..teh teh[emoji16][emoji16]
Sawaa mkuuhii ni avatar yako![]()
aah cheupe
sitawasahau hao jamaamimi nilichukizwa na jinsi viwango vya ufaulu vilipoanza kubadilishwa na viongozi walipokua wafanya masihara na elimu ndo nikaamua kuitumia na kila nikiitizama nazidi chukia
Wozzzaaah😂😂😂😂😂Wacha weeeh
🙈🙈sema kidogo
Mkuu hongeraa kwa kuikubali hali halisi!! God be with you foreverAvatar yangu inajieleza wazi ninaishi na VVU, kwa maelezo zaidi pitia uzi wangu huu hapa Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI - JamiiForums