Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Xawa....... Nduki

Mimi sio fala
 
Nilivyokuwa nakufikiria kumbe nilikuwa sawa
 
Avatar yangu ni uzalendo unaonipa uthubutu wakuwajibika juu ya nchi yangu! Haijalishi ugumu na hatarii katika kazi kikubwa uzalendo uliotukuka!!
 
Muhammad ali. Napenda sana namna jamaa aliishi maisha yake. Alikuwa mpambanaji, mcheshi, mnyenyekevu na asiependa uonevu. Nadhani nashabihiana naye sana kwa mambo hayo.
 
Kwanza kabisa id yangu ni HAZARD CHEMICAL PLATE. ikiwa na maana lebel inayobeba ujumbe kuhusu vimiminika hatari. Hii hutumika katinga HANDLING OF DANGEROUS GOODS.

Hii ni moja Ya Modules nilizozipenda sana wakati nafanya degree yangu ya kwanza ya Logistics na Usafirishaji
 
Mikononyuma.......................
 
King Khan... Baba Suhana,baba Aryan baba Abram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…