Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Kwa me naona njia salama na rahisi ya kuroot cm ni kutumia Kingroot hzo nyingne zinahtaj uwe mjuzi na mzoefu
 
Yan nkiroot simu yang c9 ikifka 51% inaniandkia hvo jmn tatzo n nn wakuu naomba msaada
 
Naomba msaada wa namna ya kuroot simu maana haikubali Google play services kwa hiyo nashindwa kuupload app ambazo zipo under Google
 
kuroot simu mm ni mtaalam lakini sijaona faida ya kuroot simu binafsi
 
Marshmallow haifai kuroot vinginevyo utaua simu yako
 
kama ni android 6.0 hazikubali kurootiwa pia ni visimu vyenye matatizo mengi
 
Yan nkiroot simu yang c9 ikifka 51% inaniandkia hvo jmn tatzo n nn wakuu naomba msaada
Mimi nilifika hapo, nimekukuluka lakini wap,

Nimebaki na tecno langu 5w, ivo ivo bampa tu pamba
 
Mrejesho;

Simu niliyoi root Ilikuja kufa mkuu.

NB;
Rooting is at your own risk!
 
Kwa waliweza ku root Tecno boom J8 nipeni maujanja nami nijidai basi
 
Wakuu naombeni msaada kwa iliyeroot android kuanzia 5 mpaka seven anisaidie kuondoa license verification kwenye iyo filmic app maana marshmallow yangu imegoma kabisa na kuilipia siwezi
 
Attachments

Nataka kuroot tecno camon inagoma. Nimetumia kingroot.
 
umejaribu kutumia lucky patcher
 
Exploit za 6.0 zipo sema wewe hujui na unapenda rahis.....unataka one touch root
Ebu tuwekee hizo Exploit za 6.0 mkuu na mimi nataka ni root ya kwangu

Nimetumia hizi nyingine nimechemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…