Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah mkuu me mwenyewe yangu ni doogee x5max. ina android 6.0 ina kiburi kishenzi, nimejaribu kwa mbinu zote kwa simu yenyewe na kwa pc ila inagoma. naambiwa your device is too strong.How to Root Android 6.0 (Marshmallow) with KingoRoot APK
kama itashindikana basi hiyo mpaka uwe na pc
Mimi nilifika hapo, nimekukuluka lakini wap,Yan nkiroot simu yang c9 ikifka 51% inaniandkia hvo jmn tatzo n nn wakuu naomba msaada![]()
Mrejesho;Rooting inakupa access ya "kuifanya" simu yako ya Android uipendavyo kwa upande wa Software including OS..
Ku root simu mkuu inategemea aina ya simu japo kuna apps na softwares ambazo zipo multipurpose kwa ajili ya kuroot aina tofauti za simu..
Unaweza kiroot kwa kutumia 'box' au kwa PC+ software au simu yenyewe kwa kutumia apps na flashable zip files...
Kabla ya kuchukua maamuzi ya ku root simh yako yapaswa kifaham madhara na faida zake...!
Hasara ninazoweza kukutajia mbili kuu ni
1. Kupoteza warranty ya simu yako
2. Kuwa kwenye hatihati ya 'kuua' simu yako..
Binafsi siwezi kukaa na simu isiyorootiwa...
Nshaua cm na sijakoma Root inaraha yake mkuuSitasahau kifo cha huawei y530 baada ya kuroot , weka root mbali kabisa na simu utaua
umejaribu kutumia lucky patcherWakuu naombeni msaada kwa iliyeroot android kuanzia 5 mpaka seven anisaidie kuondoa license verification kwenye iyo filmic app maana marshmallow yangu imegoma kabisa na kuilipia siwezi
Ebu tuwekee hizo Exploit za 6.0 mkuu na mimi nataka ni root ya kwanguExploit za 6.0 zipo sema wewe hujui na unapenda rahis.....unataka one touch root