Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Wakuu Nimejaribu sana kuroot simu yangu ni Android OS 6,marshmallows kwa kutumia King root na kingo root lakini nmechemka kabisa. Kuna kuna mtu ambaye kisha fanikiwa kuroot marshmallows anisaidie tafadhari alifanyaje!!
 
Marshmallow root kwa pc
 
nimesha download app maelezo namna ya ku root pls
Download app inaitwa kingroot baada ya hapo fata maelekezo ndani ya hiyo app and voilaa utakuwa rooted

Ni kawaida sm kurestart wakati wa kuroot so usichachawe
 
Download app inaitwa kingroot baada ya hapo fata maelekezo ndani ya hiyo app and voilaa utakuwa rooted

Ni kawaida sm kurestart wakati wa kuroot so usichachawe
sawa mkuu
 
Tusifanye pata potea wakati wa kuroot simu... Kama simu yako ni MTK tumia iRoot iliyokuwa inajulikana kama vRoot... Kwa wenye equinox na snapdragon kwa simu za Samsung tumia CFautoroot...
Mwenye infinix nenda na kingroot au kingoroot
Vi simu ambavyo chipset yake ya MTK ipo below 65xx tumia kina framaroot
 
Mtoa mada ingekua vyema ukaanza na kuelimisha nininmaana ya ku root.
 
KWA WALE WALIOROOT SAMSUNG GALAXY J SERIES WAWEKE APPS ZA KUROOT PLS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…