Siyo ishu kubwa sana.Kuna mapadri wa ajabu sana....
Daraja 2 na fireCheti chako cha kuzaliwa ndiyo kila kitu.
kwangu haipo hivyo.La kwenye cheti cha kuzaliwa ndo hilo hilo la ubatizo. Ukichanganya majina kwenye vyeti itakuletea usumbufu kuhakiki majina yako pale utakapotakiwa kufanya hivyo kwa kutumia vyeti/vitambulisho.
Baadaye alifafanua kuwa ni lazima tutoe jina kwenye biblia. Hilo la Clayton halipo kwenye biblia. So cheti kikaandikwa majina yote mawili...Clayton Paulo.Siyo ishu kubwa sana.
Mnapoenda kuchukua cheti cha ubatizo hakikisheni karani/katekista/padri anaandika Clayton tu kama mlivyojaza kwenye fomu za kuomba ubatizo toka jumuiya n.k.
Sawa ni wewe.kwangu haipo hivyo.
Tunapishana na baraka zetu bila kujua, tunawapa tabu malaikaHapo bado hujaweka jina la kwenye Social media.
nguzo moja.Daraja 2 na fire
Nilitaka nikuulize alichouliza mthriidaHapo bado hujaweka jina la kwenye Social media.
ndiyo.Laana tena?
Hilo la Jina Kutoka Kwa Biblia nasikia Kwako... Dah padri hana Utani. Lkn kiskuli utatumia claytonBaadaye alifafanua kuwa ni lazima tutoe jina kwenye biblia. Hilo la Clayton halipo kwenye biblia. So cheti kikaandikwa majina yote mawili...Clayton Paulo.
Angetushirikisha, sasa yeye katamka tu lililomjia kichwani kwake.
Paulo?? ππ alikosa jina lingine?
Padri mshamba kweliπHilo la Jina Kutoka Kwa Biblia nasikia Kwako... Dah padri hana Utani. Lkn kiskuli utatumia clayton
I feel youπMy world, Honey pie my last breath.....pumbavu sana πππππ
π πBado kuna majina ya kwenye mitandao ya kijamii π€£π€£π€£π
Wenye majina ya Kiasili akina GENTAMYCINE ( Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ) huu Uzi hautuhusu.Naomba kujua kwa mliowahi kukaa ulaya huko, je ikifika wakati wa ubatizo, wazungu pia huchagua majina ya kubatizwa kwa watoto wao kama tunavyofanya huku Afrika...
Uishi Maisha marefu Evelyn SaltJina la shule, jina la ubatizo, jina la vicoba.....hapa hata malaika akikutafuta akupe baraka hakupati
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuna mapadri wa ajabu sana...
Wenyewe tukaenda kubatiza mtoto, kuulizwa jina tukataja Clayton(mfano)
Basi akaendelea...
Nakubatiza Clayton Paulo kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu. Kha! tukabaki kushangaa na ndo ishatoka hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Yaani kaongeza jina la Paulo mbele ya jina tulilolitaja sisi.
Na nyie mkakubali πBaadaye alifafanua kuwa ni lazima tutoe jina kwenye biblia. Hilo la Clayton halipo kwenye biblia. So cheti kikaandikwa majina yote mawili...Clayton Paulo.
Angetushirikisha, sasa yeye katamka tu lililomjia kichwani kwake.
Paulo?? ππ alikosa jina lingine?
alafu kuna jina la bandia linalotumikaga guestJina la shule, jina la ubatizo, jina la vicoba.....hapa hata malaika akikutafuta akupe baraka hakupati