Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Siyo ishu kubwa sana.Kuna mapadri wa ajabu sana....
Mnapoenda kuchukua cheti cha ubatizo hakikisheni karani/katekista/padri anaandika Clayton tu kama mlivyojaza kwenye fomu za kuomba ubatizo toka jumuiya n.k.