Kwa mliokaa Ulaya/Marekani hivi Wazungu na wao pia huchagua majina ya ubatizo kanisani?

Kwa mliokaa Ulaya/Marekani hivi Wazungu na wao pia huchagua majina ya ubatizo kanisani?

Kuna mapadri wa ajabu sana....
Siyo ishu kubwa sana.

Mnapoenda kuchukua cheti cha ubatizo hakikisheni karani/katekista/padri anaandika Clayton tu kama mlivyojaza kwenye fomu za kuomba ubatizo toka jumuiya n.k.
 
La kwenye cheti cha kuzaliwa ndo hilo hilo la ubatizo. Ukichanganya majina kwenye vyeti itakuletea usumbufu kuhakiki majina yako pale utakapotakiwa kufanya hivyo kwa kutumia vyeti/vitambulisho.
kwangu haipo hivyo.
 
Siyo ishu kubwa sana.
Mnapoenda kuchukua cheti cha ubatizo hakikisheni karani/katekista/padri anaandika Clayton tu kama mlivyojaza kwenye fomu za kuomba ubatizo toka jumuiya n.k.
Baadaye alifafanua kuwa ni lazima tutoe jina kwenye biblia. Hilo la Clayton halipo kwenye biblia. So cheti kikaandikwa majina yote mawili...Clayton Paulo.

Angetushirikisha, sasa yeye katamka tu lililomjia kichwani kwake.
Paulo?? 🙄🙄 alikosa jina lingine?
 
Hilo la Jina Kutoka Kwa Biblia nasikia Kwako... Dah padri hana Utani. Lkn kiskuli utatumia clayton
 
Hilo la Jina Kutoka Kwa Biblia nasikia Kwako... Dah padri hana Utani. Lkn kiskuli utatumia clayton
Padri mshamba kweli😅

Unajua ni vizuri ukaandika majina yanayofana kwenye documents zako. Cheti cha kuzaliwa , cha ubatizo, na jina unalotumia shule liwe ni hilo hilo moja. Kama unatumia majina mawili andika yote mawili.

Huwa inakuja kuleta shida unapatakiwa kuambatanisha documents zako mahali wanakuta majina tofauti kwenye kila document. Itakuletea usumbufu mambo ya kuapa mahakamani ili kuthibitisha jina lako halisi.

Mimi nimechanganya sana majina inanileteaga usumbufu kila mara.
 
Kuna mapadri wa ajabu sana...

Wenyewe tukaenda kubatiza mtoto, kuulizwa jina tukataja Clayton(mfano)

Basi akaendelea...
Nakubatiza Clayton Paulo kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu. Kha! tukabaki kushangaa na ndo ishatoka hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Yaani kaongeza jina la Paulo mbele ya jina tulilolitaja sisi.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Haya tunayo waita watoto wa mama wakwe zetu yalitoka wapi? Yale akina babe, my rib, my heart beat, my love, sweetie, my, aisee ubatizo wake unafanyika kijanja sana
 
Baadaye alifafanua kuwa ni lazima tutoe jina kwenye biblia. Hilo la Clayton halipo kwenye biblia. So cheti kikaandikwa majina yote mawili...Clayton Paulo.

Angetushirikisha, sasa yeye katamka tu lililomjia kichwani kwake.
Paulo?? 🙄🙄 alikosa jina lingine?
Na nyie mkakubali 😃
 
Back
Top Bottom