Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

Unaweza ukakuta yupo na Kibabu chenye fedha na kina kutukana mda huu. Ngumu sana kuwaridhisha hawa viumbe. Unaweza ukampa show nzuri akalamika huumpi hela ya kutosha na unaweza ukampa fedha analalamikia show, sometimes hutakiwi kujisifu sana.

Halafu wanaume rijali wanakula nyama then wananyamaza.
 
Leo nimekosa hata nguvu za kutoka nje ya boma langu Mjukuu, hebu ingia ndani unikumbushe πŸ€—

Kuwa huru, maana Bibi yako tangu aende kuchota Maji asubuhi hajarudi 😜
Bibi akirudi ndio nitakuja babu 🀣
 
Na tukikutana kupasha viporo wanaropoka yote huko jinsi ambavyo hamuwapelekei moto wa kutosha, jitahidini jamani mnatutia majaribuni sana.
 
Matukio ya vijana wa kiume kupigwa pipe yamekuwa mengi, jikaze ndugu chat tu lakini usitende
 
Matukio ya vijana wa kiume kupigwa pipe yamekuwa mengi, jikaze ndugu chat tu lakini usitende
Ukikamatwa ugoni ni lazima jamaa wakupige pipe, ndiyo maana huwa tunasema Mke wa mtu Sumu
 
Mkuu usije ukawa kama yule wa yombo na wewe tukakuita kijana wa yombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…