Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁

Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁

View attachment 3080522
Unaweza ukakuta yupo na Kibabu chenye fedha na kina kutukana mda huu. Ngumu sana kuwaridhisha hawa viumbe. Unaweza ukampa show nzuri akalamika huumpi hela ya kutosha na unaweza ukampa fedha analalamikia show, sometimes hutakiwi kujisifu sana.

Halafu wanaume rijali wanakula nyama then wananyamaza.
 
Leo nimekosa hata nguvu za kutoka nje ya boma langu Mjukuu, hebu ingia ndani unikumbushe 🤗

Kuwa huru, maana Bibi yako tangu aende kuchota Maji asubuhi hajarudi 😜
Bibi akirudi ndio nitakuja babu 🤣
 
Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁

Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁

View attachment 3080522
Na tukikutana kupasha viporo wanaropoka yote huko jinsi ambavyo hamuwapelekei moto wa kutosha, jitahidini jamani mnatutia majaribuni sana.
 
Matukio ya vijana wa kiume kupigwa pipe yamekuwa mengi, jikaze ndugu chat tu lakini usitende
 
Mkuu usije ukawa kama yule wa yombo na wewe tukakuita kijana wa yombo
 
Back
Top Bottom