joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unaweza ukakuta yupo na Kibabu chenye fedha na kina kutukana mda huu. Ngumu sana kuwaridhisha hawa viumbe. Unaweza ukampa show nzuri akalamika huumpi hela ya kutosha na unaweza ukampa fedha analalamikia show, sometimes hutakiwi kujisifu sana.Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁
Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁
View attachment 3080522
Halafu wanaume rijali wanakula nyama then wananyamaza.