Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

hii generation inakosa ambition ya vitu vya maana yani ni ujingaujinga tu
Ambition yako na vipunga wenzako wa generation ya zamani iko wapi? zaidi ya legacy ya umaskini na upumbavu mmeifanyia nini nchi? tunadharaulika dunia nzima na miaka zaidi ya 60 ya uhuru
 
Mambo ya ngono ni ya ajabu sana, unakuta mwanamke anayekukataa na unamtaka haswa kafa kaoza kwa mume wa mtu na mkewe ndo huyo unahangaika nae.
 
Kuna nyimbo ya rap ilitoka miaka ya 2000 inaitwa "Hujawajua mademu"

Hapo wewe unaambiwa hivyo, mume wake anaambiwa hivyohivyo,bwana wake wa kwanza pia anaambiwa hivyo..Huwezi kujua wakati gani mwanamke anasema ukweli, wakati gani anadanganya,huwa wana fake hadi orgasm..
 
Mwanamke hata awe mjanja vip lazima kuna mhuni mmoja tu anakuwa kamuingia moyoni deep
 
Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁

Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁

View attachment 3080522
Mkuu ssa akiona itakuwaje io chart nyie ndio mnaovujisha hadi picha za utupu tu maneno tu umeshindwa kukaza hivo
 
Iko siku utaomba maji, na utapewaaa bapa LA chupa ya Safari Shavuniii.

Wee endeleaa kuneng'enekaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom