Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16]anyway atakua aeelewa lknPreference zako kwa mahusiano ni tofauti na za wengine, vigezo vyako vya mke bora haviwezi kuwa sawa na vya mwingine kwa hiyo cha kukushauri wewe anglia unaeona anakufaa na amekidhi vigezo vyako weka ndani
Ukisema kila mtu aseme experience yake hapa, mwingine atakwambia alipenda tu kucha akaamua kuoa, mwingine atasema amempendea tabia, mwingine atasema amependa macho yake, mwingine atakwambia mke wake ana akili kwa hiyo ameoa ili apate watoto wenye akili na kuna wanaume wa dar watakwambia wife kwao wana uwezo kwa hiyo ameoa ili apate urahisi wa maisha
Sijui umeelewa lakini, au niongeze sauti
Anyways, wenye wake zao wanakuja
Duu, unataka kusema Nini Mkuu, kwamba asilimia zaidi ya 90 walioingia kwenye wife husband relation hawakujuana Kabla ya kuoana?Biblia inasema muda wa kuchunguzana ni miaka 13.
Swali zuri Sana,,, sema amegoma kujibu tu.Yupi? Mjeshi au smati?
Kweli mkuu umenena vema.Kila mtu ana experience yake, huwezi kumjua mtu hata ufanyeje. Kama ana sifa unazoona zinafaa kuingia nae kwenye ndoa just do it usianze kufukunyua sana.
Ndoa is always sweet-bitter!
[emoji28][emoji28] ya mkeka Ni hatari Sana mkuuNjoo jumatatu ofisini kwangu tukupatie mke...
[emoji28]Bro mi maisha yangu magumu naomba niadopt hata kwa miaka 4 tu
Cc. Smart911Thank you God for this wonderful gentleman![emoji120]
Thanks one again!
Sasa siwezi ku adopt mtoto mkubwa kama wewe juu ni ugumu wa maisha.Bro mi maisha yangu magumu naomba niadopt hata kwa miaka 4 tu
Achana nao!Mbona ninalo!!!![emoji134][emoji134]
Basi niadopt niwe rafiki yakoSasa siwezi ku adopt mtoto mkubwa kama wewe juu ni ugumu wa maisha.
Daah, naamini umepitia mengi Hadi kufikia hatua hiyo.Sasa unaoa ndio ugundue nini? Kama ni pussy unaeza pata popote na kama ni kids unaweza hata ku adopt.
Acheni ujinga.
Hiyo "anyway" kwenye ndoa haipo na haitakiwi kuwepo kabisa kwasababu kuoa/kuolewa kunamaanisha maisha yako, Kuna maanisha familia yako ambayo unaianzisha, Kuna maanisha furaha yako, na amani yako ukifikiria hivi utagundua Hilo neno "anyway" halina pa kukaa, na ukichagua mwenza kuangalia vigezo hivyo hautampata huyo "anyway"Kwenye kusaka mwenza utata ni mwingi Sana. Unaweza fika mahali ukahisi kuchoka kuchunguza tabia za wale unaowachunguza ili kupata alie Bora, matokea yake wote unaowachunguza kwa lengo zuri la kuoa unakutana na sintofaham mbalimbali ambazo ukizifikiria kwa undani unaona kabisa baadae unaweza kupata changamoto nyingi endapo utaridhia kukamilisha taratibu za uchumba na kuoa.
Wakati mwingine utakutana na watu watakwambia usichunguze Sana hakuna aliyekamilika na tena anaweza kuongezea kabisa kwamba ukimchunguza Sana Bata huwezi kumla na kwamba hakuna aliyekamilika.
Je mlioingia kwenye mahusiano ya mume na mke "anyway" yaani unamashaka lakini unahisi Kama umechoka kuchunguza mana kila unayeanzisha nae mahusiano Ni hola, then ukaamua tu kuoa ivo ivo mnasemaje kuhusu hili ?
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Babu kamaliza.Majuzi ijumaa nilienda kumuona babu akaniambia mbona unachelewa kuoa nikamwambia bado namchunguza akacheka sana akaniambia huwezi kumchunguza mwanamke maana hutaona baya kwa sasa ila ukishaoa ndo utajua ukweli wake halisi kama sio mke kutoka kwa Mungu utaimba hallelujah tu kikubwa omba mke mwema basi kumchunguza mtu ngumu.
Mkuu umewaza idea nzuri sana. Mods lifikiriwe hili.Anyway nimetamani kuwe na kasehemu ka kurecord VN
TAFITI ZINAONYESHA WATU KAMA NYIE NDIO WA KWANZA KUVUTA MAMA NDANI🤣Sasa unaoa ndio ugundue nini? Kama ni pussy unaeza pata popote na kama ni kids unaweza hata ku adopt.
Acheni ujinga.