Kwa mliooa tukutane hapa

Kwa mliooa tukutane hapa

Kama umechunguza wanawake 10 ukaona wote hawafai USIOE subiri ambaye walau moyo wako na akili yako km vinakubaliana hivi.

KUOA sio kuolewa.

Ndoa ni ya mwanamke kama umeamua kuoa basi walau tafuta utakayemmudu.

Kumbuka unapooa wewe km mwanaume unajiingiza kwenye MATATIZO sasa chagua matatizo yanayovumilika.

Kwa uzoefu wangu mwanaume hana anachopata kwenye ndoa cha maana kama sio status tu kwamba nina mke na watoto.
Wachache sana wanaweza kusimama mbele ya kanAmdansi wakasema kutoka moyoni kwamba kuna cha ziada kwenye Ndoa.Kifupi Ndoa inamtesa sana mwanaume kule hamna cha uhakika wa sex wala furaha basi oa mwanamke ambaye hakupi stress tu walau hiyo furaha yako uliyonayo usipoteze

Tena ukioa cha kwanza mwanamke anachofanya nikupambana kupora furaha yako.

Babu zenu hawakuwa wajinga kuoa leo hlf kuja tena kuoa baada ya miaka miwili hlf kuja tena kuoa baada ya miaka miwili zile zilikuwa harakati za kulinda furaha ambayo mara nyingi inaporwa ukioa.

Mwanaume gani hapaswi kuoa
1.Ambaye mpole sana na hana msimamo
2.Ambaye hawezi kupiga mwanamke
3.hana hobbies yaani mpira hafuatilii,achezi bao wala draft etc
4.Hawezi kuweka vipaumbele vyake mbele kuzidi familia yake.
5.Sio mbinafsi
6.HANA MCHEPUKO
Kama huna mwanamke mwingine nje na wewe sio mtu wa wanawake kuwa makini sana unapoamua kuoa Tena kuwa makini kweli kweli unless km unaoa wake wawili.

Ili uwezo lazima uwe na tabia mbaya moja wapo hapo juu ndo utaweza kuishi na mwanamke
 
Daah,, mkuu saluti kwako kwa bonge la hoja... Lakini tegemea challenge kwenye hoja hii.

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Thanks mods kwa kuboresha heading,, lakini sina hakika Kama content summery ya heading ya mada haija badilika Sana baada ya kuifanyia marekebisho na kushindwa kureflect ujumbe halisi Kama nilivyokusidia. Sijui members wengine wanaweza kushauri pia.

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Kama umechunguza wanawake 10 ukaona wote hawafai USIOE subiri ambaye walau moyo wako na akili yako km vinakubaliana hivi.

KUOA sio kuolewa.

Ndoa ni ya mwanamke kama umeamua kuoa basi walau tafuta utakayemmudu.

Kumbuka unapooa wewe km mwanaume unajiingiza kwenye MATATIZO sasa chagua matatizo yanayovumilika.

Kwa uzoefu wangu mwanaume hana anachopata kwenye ndoa cha maana kama sio status tu kwamba nina mke na watoto.
Wachache sana wanaweza kusimama mbele ya kanAmdansi wakasema kutoka moyoni kwamba kuna cha ziada kwenye Ndoa.Kifupi Ndoa inamtesa sana mwanaume kule hamna cha uhakika wa sex wala furaha basi oa mwanamke ambaye hakupi stress tu walau hiyo furaha yako uliyonayo usipoteze

Tena ukioa cha kwanza mwanamke anachofanya nikupambana kupora furaha yako.

Babu zenu hawakuwa wajinga kuoa leo hlf kuja tena kuoa baada ya miaka miwili hlf kuja tena kuoa baada ya miaka miwili zile zilikuwa harakati za kulinda furaha ambayo mara nyingi inaporwa ukioa.

Mwanaume gani hapaswi kuoa
1.Ambaye mpole sana na hana msimamo
2.Ambaye hawezi kupiga mwanamke
3.hana hobbies yaani mpira hafuatilii,achezi bao wala draft etc
4.Hawezi kuweka vipaumbele vyake mbele kuzidi familia yake.
5.Sio mbinafsi
6.HANA MCHEPUKO
Kama huna mwanamke mwingine nje na wewe sio mtu wa wanawake kuwa makini sana unapoamua kuoa Tena kuwa makini kweli kweli unless km unaoa wake wawili.

Ili uwezo lazima uwe na tabia mbaya moja wapo hapo juu ndo utaweza kuishi na mwanamke
Nafatilia mpira sana mkuu ...
So may I proceed? 😊
 
[emoji445][emoji445]Huyooo ni chaguo lakooo
Chaguo lako
Huyo ni chaguo lakooo
Chaguo lako[emoji445]
Daaaa huu wimbo nauchukia sana, na sababu ya wimbo huu ni miaka 6 sasa sijawah weza kukaa na kuangalia CD ya ndoa yangu na wife.
 
Majuzi ijumaa nilienda kumuona babu akaniambia mbona unachelewa kuoa nikamwambia bado namchunguza akacheka sana akaniambia huwezi kumchunguza mwanamke maana hutaona baya kwa sasa ila ukishaoa ndo utajua ukweli wake halisi kama sio mke kutoka kwa Mungu utaimba hallelujah tu kikubwa omba mke mwema basi kumchunguza mtu ngumu.
Kingine kunauzi humu unaosema kwa wale tuliokosea kuoa tukutane hapa, dah wengi Sana wanaonesha hawajafanikiwa kupata wenza wa ndoto zao, yani inaonekana kumpata Yule Yule uliyetegemea kumpata Ni ngumu Sana, na mengi yanajificha katika uchumba ila ukisha muweka ndani ndio uhalisia unaonekana.
 
Back
Top Bottom