Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
FURAHA IPO KIFUNGONI HOW?Ukishaingia utatamani kutoka,utajisemea bora ningevuta subra au nisingeoa maana furaha yako itakuwa ipo kifungoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FURAHA IPO KIFUNGONI HOW?Ukishaingia utatamani kutoka,utajisemea bora ningevuta subra au nisingeoa maana furaha yako itakuwa ipo kifungoni
Anyway, asante[emoji28][emoji16]anyway atakua aeelewa lkn
Nilishasepa kitambo,nataka ujinga na moyo wangu mie kwanFURAHA IPO KIFUNGONI HOW?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee hiyo ofisi kibokoNjoo jumatatu ofisini kwangu tukupatie mke...
Kuna interview [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee hiyo ofisi kiboko
Daah,, mkuu saluti kwako kwa bonge la hoja... Lakini tegemea challenge kwenye hoja hii.Kama umechunguza wanawake 10 ukaona wote hawafai USIOE subiri ambaye walau moyo wako na akili yako km vinakubaliana hivi.
KUOA sio kuolewa.
Ndoa ni ya mwanamke kama umeamua kuoa basi walau tafuta utakayemmudu.
Kumbuka unapooa wewe km mwanaume unajiingiza kwenye MATATIZO sasa chagua matatizo yanayovumilika.
Kwa uzoefu wangu mwanaume hana anachopata kwenye ndoa cha maana kama sio status tu kwamba nina mke na watoto.
Wachache sana wanaweza kusimama mbele ya kanAmdansi wakasema kutoka moyoni kwamba kuna cha ziada kwenye Ndoa.Kifupi Ndoa inamtesa sana mwanaume kule hamna cha uhakika wa sex wala furaha basi oa mwanamke ambaye hakupi stress tu walau hiyo furaha yako uliyonayo usipoteze
Tena ukioa cha kwanza mwanamke anachofanya nikupambana kupora furaha yako.
Babu zenu hawakuwa wajinga kuoa leo hlf kuja tena kuoa baada ya miaka miwili hlf kuja tena kuoa baada ya miaka miwili zile zilikuwa harakati za kulinda furaha ambayo mara nyingi inaporwa ukioa.
Mwanaume gani hapaswi kuoa
1.Ambaye mpole sana na hana msimamo
2.Ambaye hawezi kupiga mwanamke
3.hana hobbies yaani mpira hafuatilii,achezi bao wala draft etc
4.Hawezi kuweka vipaumbele vyake mbele kuzidi familia yake.
5.Sio mbinafsi
6.HANA MCHEPUKO
Kama huna mwanamke mwingine nje na wewe sio mtu wa wanawake kuwa makini sana unapoamua kuoa Tena kuwa makini kweli kweli unless km unaoa wake wawili.
Ili uwezo lazima uwe na tabia mbaya moja wapo hapo juu ndo utaweza kuishi na mwanamke
Nafatilia mpira sana mkuu ...Kama umechunguza wanawake 10 ukaona wote hawafai USIOE subiri ambaye walau moyo wako na akili yako km vinakubaliana hivi.
KUOA sio kuolewa.
Ndoa ni ya mwanamke kama umeamua kuoa basi walau tafuta utakayemmudu.
Kumbuka unapooa wewe km mwanaume unajiingiza kwenye MATATIZO sasa chagua matatizo yanayovumilika.
Kwa uzoefu wangu mwanaume hana anachopata kwenye ndoa cha maana kama sio status tu kwamba nina mke na watoto.
Wachache sana wanaweza kusimama mbele ya kanAmdansi wakasema kutoka moyoni kwamba kuna cha ziada kwenye Ndoa.Kifupi Ndoa inamtesa sana mwanaume kule hamna cha uhakika wa sex wala furaha basi oa mwanamke ambaye hakupi stress tu walau hiyo furaha yako uliyonayo usipoteze
Tena ukioa cha kwanza mwanamke anachofanya nikupambana kupora furaha yako.
Babu zenu hawakuwa wajinga kuoa leo hlf kuja tena kuoa baada ya miaka miwili hlf kuja tena kuoa baada ya miaka miwili zile zilikuwa harakati za kulinda furaha ambayo mara nyingi inaporwa ukioa.
Mwanaume gani hapaswi kuoa
1.Ambaye mpole sana na hana msimamo
2.Ambaye hawezi kupiga mwanamke
3.hana hobbies yaani mpira hafuatilii,achezi bao wala draft etc
4.Hawezi kuweka vipaumbele vyake mbele kuzidi familia yake.
5.Sio mbinafsi
6.HANA MCHEPUKO
Kama huna mwanamke mwingine nje na wewe sio mtu wa wanawake kuwa makini sana unapoamua kuoa Tena kuwa makini kweli kweli unless km unaoa wake wawili.
Ili uwezo lazima uwe na tabia mbaya moja wapo hapo juu ndo utaweza kuishi na mwanamke
Daaaa huu wimbo nauchukia sana, na sababu ya wimbo huu ni miaka 6 sasa sijawah weza kukaa na kuangalia CD ya ndoa yangu na wife.[emoji445][emoji445]Huyooo ni chaguo lakooo
Chaguo lako
Huyo ni chaguo lakooo
Chaguo lako[emoji445]
Dah, pole mkuuDaaaa huu wimbo nauchukia sana, na sababu ya wimbo huu ni miaka 6 sasa sijawah weza kukaa na kuangalia CD ya ndoa yangu na wife.
Nafatilia mpira sana mkuu ...
So may I proceed? [emoji4]
Kingine kunauzi humu unaosema kwa wale tuliokosea kuoa tukutane hapa, dah wengi Sana wanaonesha hawajafanikiwa kupata wenza wa ndoto zao, yani inaonekana kumpata Yule Yule uliyetegemea kumpata Ni ngumu Sana, na mengi yanajificha katika uchumba ila ukisha muweka ndani ndio uhalisia unaonekana.Majuzi ijumaa nilienda kumuona babu akaniambia mbona unachelewa kuoa nikamwambia bado namchunguza akacheka sana akaniambia huwezi kumchunguza mwanamke maana hutaona baya kwa sasa ila ukishaoa ndo utajua ukweli wake halisi kama sio mke kutoka kwa Mungu utaimba hallelujah tu kikubwa omba mke mwema basi kumchunguza mtu ngumu.