Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mimi sijaelewa ama ni simu yakeNahisi ana kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijaelewa ama ni simu yakeNahisi ana kichaa
Tlokweng nipe direction aisee.ulikuwa na shida gani kuna garage nyingine ya watanzania tlokweng
Huyo mpuuzi anatafuta umaarufu kwa njia ya kujitoa ufahamu,dawa yake ni kumu ignore tu ili aone uhalisia wa ujinga wake.Hivi naona mbona kila post na comment huyu bwana aise ana dislike? Hata huu uzi pia
Ana mimba na dume limemkimbiaHivi naona mbona kila post na comment huyu bwana aise ana dislike? Hata huu uzi pia
Ni mwehu tu anaonekanaMimi sijaelewa ama ni simu yake
Yaani ni too much utakuta kuna mtu katoa comment nzuri tu ila yeye ana dislikeHuyo mpuuzi anatafuta umaarufu kwa njia ya kujitoa ufahamu,dawa yake ni kumu ignore tu ili aone uhalisia wa ujinga wake.
😀😀😀punguza jazba mkuuHuyo mpuuzi anatafuta umaarufu kwa njia ya kujitoa ufahamu,dawa yake ni kumu ignore tu ili aone uhalisia wa ujinga wake.
Richard alirudi tanzania huko njombe analima,victor alirudi tanzania yupo ngara huko,kwa ujumla imefungwa siku nyingi sana
Mzee wangu huyu MrRichard Mlowezi
Ukitumia App ya jf huwezi ona labda web view ndio utazionaSehem gan mm sijaona
Waha na ujanja wapi na wapi.Mi huwa hata sielewi, au hajui matumizi yake, sijui huwa anamaa gani hata.
Lengo lake alitaka ajadiliwe kama hivi,huyu mngempotezea tu.Waha na ujanja wapi na wapi.
Mwenzako kaona ndio swagger za mjini hizo.
Imeisha hio chief.Lengo lake alitaka ajadiliwe kama hivi,huyu mngempotezea tu.