Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Hivi unadhani kuwa na hela ndio kujua kuvaa?
Na mpaka uende kwa stylist/designer maana yake unajua kuvaa tayari.

Yeye hayo sio shida zake, anajivalia zake kama enzi za akina Aisha Madinda wakinengua majukwaani.
Kuna watu hata wavae nini hawapendezi
Afu Kuna wale 'enga'hata gunia akitupia linanoga
Mfano ,Hamisa,Wolper na Lulu Hawa watu bwana wakivaa wananonga ht wakivaa gunia
 
Back
Top Bottom