Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Katika pita pita huku mtandaoni nikakutana tu na picha zake nikawa nashangaa kama vile kavaa helmet ila sio....nywele zimekutana na nyusi....
View attachment 2789072

View attachment 2789073
View attachment 2789075

Kikomwe chake kimeenda wapi sasa na kwenye harusi kilikuwepo. Anyway ana kipaji cha kuchamba watu.....
Eve.... aisee kuna hawa majamaa wa humu wanajifanya hawamjui sasa sijui wanona ni sifa kwamba kumfahamu Bhuyu mdada pengine wanona ndio ujanja au kuonekana wa kijijini ndio ujanja ,,waambie HUO NI USHAMBA
 
Katika pita pita huku mtandaoni nikakutana tu na picha zake nikawa nashangaa kama vile kavaa helmet ila sio....nywele zimekutana na nyusi....
View attachment 2789072

View attachment 2789073
View attachment 2789075

Kikomwe chake kimeenda wapi sasa na kwenye harusi kilikuwepo. Anyway ana kipaji cha kuchamba watu.....
Subiri ulale sasa, leo usiku anakuja na wapambe kukuchamba kwenye usingizi wako. Na ninasikia anapenda kutia watu vidole huyu huku akiwapiga picha.
 
Afu mbali na kukosa mvuto huko bado anaolewa Mara kumikumi[emoji15][emoji13][emoji86]....hakika ukishangaa ya Dida utafumaniana na ya Rose mhando
Pengine anapiga miguu yote kwa ustadi.
 
Back
Top Bottom