Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Hata Mimi Nimeliona Hilo alafu nina wasiwasi na huyu jamaa nahisi Kama vile🌈
 


Kwanini lakini uandike Utarii..!!
 
mkuu Washing mashine automatic nzuri ya kilo 10 inapatikana kwa Tsh ngap?
 
mkuu Washing mashine automatic nzuri ya kilo 10 inapatikana kwa Tsh ngap?
Sijawahi kuulizia...ila kusafirisha bidhaa moja gharama yake kama utashindwa kusubiri kwa muda mrefu itakuwa kubwa kuliko gharama za kununulia bidhaa hiyo hiyo bongo​
 
Sasa mkuu naomba niongezee hapo kwenye Bandiko Lako na ni kama ushauri kwa watu wanotaka kupata fursa UAE,

Ingekuwa vizuri Kama ungeelezea ukweli pia kuwa hata huku UAE kwa kipindi hiki kazi zimekuwa ngumu kidogo na Unemployment rates inaongezeka kutokana na data zao ndio maana pia wamekuja strictly kidogo kwenye Visa zao kwasababu Watu wanaokuja kutafuta kazi ni wengi kuliko kazi zenyew huku, Nawafahamu watu wengi ambao wamekuja Dubai na wakashindwa kupata kazi na wakarudi na wengine wameamua kuingia Overstay (ambapo overstay kuajiriwa ni another mystery mostly kama una overstay na umetokea Africa) Pia kingine makampuni mengi ayachukui waafrika (Weusi) kwasababu Tu baadhi ya Nchi kutokea Africa inatakiwa walipe pesa zaidi wakati wa kufanya Visa japo so wanafaya kama samaki mmoja akioza basi wote wameoza.

Kwahiyo kuja Dubai sio shida kama ni Tour but kwa kazi kidogo imekuwa tofauti sio kama zamani, na waafika tumekuwa wabaya Sana wenyew kw wenyew nimeona watu wengi wakiwa wanaachwa kwenye mataa na watu waliowaleta huku na baadae wanaishia kujilaumu uhamuzi waliofanya kuja Dubai.

Thanks.
 
Total true... kwenye swala la ajira ni changamoto but kitu pekee anacho takiwa kufanya mtafuta kazi ni kuwa na bajeti ya kununulia kazi...ni nadra sana upate kazi bila kutoa commission...!

Na kuingia pia sio ngumu ukiwa na pesa maana airport utatakiwa kuonyesha pesa nadhani ni dirhams 3000/= kwa wenye Visa ya mwezi mmoja ama 6000 kwa wenye Visa ya miezi 2. Hizo pesa unatakiwa uwe nazo cash mkononi au kwenye credit card...!​
 
Kazi za kununua Nina experience nazo sana na 50% ni scamming nilishawah na hasa hizo za security ndio balaa watu wanalizwa sana na hao wahindi wenye hizo kampuni utaambiwa ununue kazi baadae ulipie pesa ya SIRA ambayo kisheria ni muhajiri wako inabidi akulipie but wengi wao wanakuchaji na inabidi ulipie Visa yako ya kazi πŸ˜΅β€πŸ’«πŸ˜΅β€πŸ’«, nilishawahi kufanya Interview za hao jamaa zaidi ya Kumi but mwishoni unakuja kupewa gharama za kulipia kabla ya kuajiriwa πŸ˜…πŸ˜…(5000aed) and ukishalipia unakaa accommodation bila mshahara mpaka upate site ya kwenda, utakula vyakula vya kihindi hadi ukome πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
anyway najua kila mtu yupo na bahati yake kila kitu ni kujaribu.
 
Rafiki yangu ulienda bila kuwa na mtu anae kujua hakuna sehemu yenye maelekezo mengi kama Dubai...Yani ukiangukia mikononi mwa vidada vya kihindi vinavyo jifanya vina ofisi za uagent lazima wakuombe pesa kwaajili ya visa change 🀣

Ila ukiwa na mtu anae kujua unatoa commission unaingia kazini...na yupo agent kwenye kituo fula kinaishia na DG...huyo agent achukui hata mia Yako ila ukipata kazi ukaikubali na boss akakukubari ndio either uwalipe commission yao au uwape kidogo kidogo mpaka utakapo malizana nao...!

ULIENDA BILA KUWA NA MTU WA KUKUELEKEZA...!​
 
Aaahh sawa mkuu hapo unamaanisha huyo agent yupo sharaf DG,… C ndio?

Anyway mi nilikwenda alone na sikuwaga na Agent tangu natoka Tz adi nikafika Dubai mwenyew, though my Target ilikuwa Sharjah kwa sababu zangu binafsi ila nikaishia Dubai, though nasikiaga kuna agents ambao ni Genuine ila 1-10(hapo unabakia na 3) Tu , but anyway mi nasemaga siku zote ni bahati yako Tu kupata kazi Dubai na uwe na Target ya Mshahara unahoitaji la sivyo Dubai pia kuna mishahara ambayo aiendani na Life la Dubai…
 
Ila pia Niko against na Commissions JOBs kwasababu kwa experience najua watu wengi wamelizwa na hizo style za job kwasababu wengi wanazinguliwa baada ya Recognition period zile siku 90 unatemwa bila mkataba na umeshagharamika kulipia hiyo kazi.
 
Yap ni sharaf DG nadhani exit two...ukitoka nje Kuna kimgahawa ambako Kuna njia inayo pita kwenye kati kati ya ghorofa...kwenye Hilo ghorofa ground floor ambako Kuna njia ya kutokea upande wa pili...kati kati ya hiyo njia...upande wa kushoto Kuna agent genuinely kabisa....!

Miongoni kwa wafanyakazi wa hiyo ofisi Kuna mganda mmoja...wako poua sana...!

Na nadhani ulipapenda sharja kwasababu ya computer tu🀣🀣🀣​
 
Ila pia Niko against na Commissions JOBs kwasababu kwa experience najua watu wengi wamelizwa na hizo style za job kwasababu wengi wanazinguliwa baada ya Recognition period zile siku 90 unatemwa bila mkataba na umeshagharamika kulipia hiyo kazi.
Ni changamoto sana kwa kweli Dubai...na watanzania wa huko most of them ni masnitch kinouma watanzania tunaishi kama vile hatutoki nchi moja...tofauti na wenzetu wanaotoka mataifa mengine...!

Upo wapi siku hizi...?​
 
Yap hiyo ni sababu mojawapo πŸ˜ƒ
 
Ni changamoto sana kwa kweli Dubai...na watanzania wa huko most of them ni masnitch kinouma watanzania tunaishi kama vile hatutoki nchi moja...tofauti na wenzetu wanaotoka mataifa mengine...!

Upo wapi siku hizi...?​
Still nipo Dubai, hao waganda ni watu wengine wanaojifunza scamming kama wenzao Nigerian na uwa nashangaa upo na akili zote hadi unafika Dubai then mtu anakuja kukutapeli huku kwa maneno πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, anyway kila mtu ana mjanja wake.

Watz bado tupo Wachache ukilinganisha na mataifa mengine ya Africa nafikiri hata Kenya ni wengi kuliko sisi kwa Dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…