Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Usipende kweka kila kitu hadharani unless mtu yupo serious na huduma yako hivyo anahitaji further proof.

wabongo hawana dogo
Hata ukiwawekea Awana Cha kuifanya wengi wanaishi kwa shemeji...😂😂😂😂 Wala usijali 😂😂😂​
 
Watanzania wengi wana roho mbaya, wana wivu usio na maana, nina mtu namfahamu anafanya kazi na taasisi moja linashughulika na malaria,jamaa anapokea pesa ndefu sana ila ukimuona unaweza ukakataa kabisa.

Muonekano, afya yenye rutuba hayo mengine ila mtu ameamua kurahisisha kwa wanaotaman kwenda huko na kupata msada wake basi naona tungebaki humo.

Hayo majitu yenye vitambi ndio kila siku yanatapeli watu mjini hapa
Bora umenisaidia ndugu yangu
 
Bwana Iddy, kwa ajili ya uelewa wa wengi, sio vibaya ukatoa ufafanuzi wa hoja zangu. Haya mambo ya kupigiana simu yanaleta ukakasi kind off. Wewe mwaga data hapa jukwaani
IDDY S MHANDO anataka tuongee naye kwa whatsaap! Naomba atueleze ataongeaje wakati yupo Dubai. Whatsapp haziruhusiwi kutumiwa kwa kuongea bali kuna njia ya uficho. Atueleze ataongeaje! Hapo kidogo nitakuwa na imani ingawa hana residence permit bali Tourist Visa.
 
Uniumbue Mimi nilie amua kutumia majina yangu ya ukweli...labda uumbuke wewe unae tumia nik name...!

Hata ukisema nikurushie kitambulisho changu naweza Nika kutumia Tena hapa hapa kwenye post...sijui unacho bishania hapa ni kipi kwani Dubai ni mbinguni siwezi kwenda au...!​
Hujanielewa. Angalia evisa yako vizuri na unachotaka kufanya
 
Mzee wa Kendrick road....ushahama kale kamji?
Nilishahama kule 😀
Niko huku milimani countryside

1718460713307.jpeg
 
IDDY S MHANDO anataka tuongee naye kwa whatsaap! Naomba atueleze ataongeaje wakati yupo Dubai. Whatsapp haziruhusiwi kutumiwa kwa kuongea bali kuna njia ya uficho. Atueleze ataongeaje! Hapo kidogo nitakuwa na imani ingawa hana residence permit bali Tourist Visa.
Kwani shida ipo wapi nimekukwaza nini mbona kama unanishambulia...?
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Dah nimelia sana 😭
 
Aisee baadhi ya watu mko insensitive sana....

Okay, asking for a friend. Kuna muonekano gani wa ajabu hapo ? Mi naona kijana wa watu mrefu na mtanashati.
Bora hata umeni saidia....! Kwakweli wape wabongo picha captions waachie🤣🤣🤣🤣
 
Je unawaza kwenda Dubai kibiashara...?
Je unawaza kwenda Dubai kwaajili ya KUTAFUTA kazi...?
Je unawaza kwenda Dubai kutembea...?

Kwa unae taka kwenda Dubai kwa Sababu nilizo ziainisha hapo juu solution la tatizo lako Mimi ninalo.
View attachment 3017911
Ukifikiria kwenda Dubai usiogope Tena juu ya wapi utafikia, nani atakupokea airport...na ni nani atakutembeza kupata kile utakacho kifata...!

Kwa gharama nafuu sana nitakutembeza na kukuguide kwa muda tutakao elewana.

Hivyo usiogope Tena kuja Dubai...!

Nipo DUBAI kwaajili Yako njoo Whatsapp tujadiliane Katalog von mhando auf WhatsApp ansehen

{+971581480619 Whatsapp}​
Nauli ya ndege kutoka Dar hadi Dubai ni tsh ngapi?
Fursa zipi za kazi & biashara zipo huko
 
Nauli ya ndege kutoka Dar hadi Dubai ni tsh ngapi?
Fursa zipi za kazi & biashara zipo huko
  1. Nauli haipo constantly ila ndege za AirTanzania uki booking mwezi kabla ya safari inaweza kuwa rahisi kuliko mashirika mengine ya ndege...?​
  2. Fursa zote zipo kwa kukumegea Siri tu vijana wengi mnao wasingizia kuwa wanauza madawa ya kulevya wenye frem za sinza na kwengineko mizigo yao wanaichukua moja kwa moja DUBAI ndio maana Wana mudu kulipia Kodi za frem zao🤣🤣🤣​
  3. Kazi zipo ila ni za kununua. Ila sahau kupata kazi uliyo somea...kwa kuanzia ni lazima ufanye cheap labour kwanza 😂😂😂​
 
Back
Top Bottom