Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Ukitaka kwenda huko unafungasha kiroba chako cha mchele kilo 100, unga wa dona na michembe. Maisha safi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ati Michembe a.k.a Mapalage
 
Kuna mdau anadai
Kuna mdau anadai mshawapiga watu mill 14 @7 mill. Ulianzia na story za Ukraine, Poland sasa ni hii.
 
We mtu kakwambia anashindia mikate mademu wa kizungu atawasoma tu kwenye taarifa. Huyo muulize anapiga nyeto mara ngapi kwa siku.
😂😂😂 ila machangu akijibanabana anaweza kuwanunua.
Nalog off
 

 
Nenda kote lakini Marekani ndio kila kitu ,Marekani vyakula ni bei chee sana kulinganisha na sehemu nyingine, pia Marekani utapata chakula cha aina yoyote ni wewe tu. Kama unapenda kupika kuna visupermarket vya wahindi,waarabu na wamexico wanauza kila kitu hadi magimbi ya Matombo.
 
Sawa baba
 
Ni kweli Nina mpango wa kuja uko aise ndo nafanya maaplikesheni hapa ..USA ndo dunia ilipo
 
Hapa napiga mishikaki ya nundu na chips kwa elfu sita tu, hata ndio maisha sio huko . Tena vitu vya huku ni vitamu kuliko vya huko ambavyo having ladha
Aisee usije ongea huvyo mbele ya wazungu.Kuna mtandao wamenipa onyo la kunufungia account yangu kwa kuchangia kuwa wazungu wanakula junk food waafrika wanakula natural food. Wazungu wanataka wasifiwe tu, watu wa ajabu sana.
 


Dah Nyama kg moja tsh elfu 70,000 ?!! Kweli huko nyama ni anasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…