Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Ni kweli watu weusi ni wachafu wachafu sana. Wanapaswa kupewa elimu ya Usafi na Lishe
 
wazungu ndo dili hao,ukipiga piga akipata ujauzito ni vyema zaidi,hao wakina asha ndala ndefu unawaacha huku huku Bongo,sasa nifike mbele alafu nimsukumie moto Mkenya hapo sitakua serious
Mkenya [emoji848]
Sasa si bora hata wairaki wa Bongo kuliko hao watu mana ni katari sana
 
Unaenda ulaya maskini. Armenia ni kati ya nchi masikini ulaya kwa Africa ni kama Burundi hivi
siendi kuishi, umasikini wao ndio fursa kwangu ya kibiashara.
hata siku moja siwezi kwenda kuishi nchi nyingine tofauti na nchi yangu Tanzania.
Tanzania ndio kila kitu kwangu.
 
Duuu, ki ukweli nitafia tu hapa hapa bongo.,,siyawezi hayo maisha.
Dollar ukiibadilisha pesa za madafu utaona ni pesa nyingi sana , imagine unalipwa $35 kwa saa, piga mahesabu hapo!
 
hapana mkuu..siwezi kushindia mikate mimi, hata Kwa bunduki 100 sitoki Africa hasa nyumbani (sweet Tanzania).
Mshahara wako ni Tshs ngapi/unatengeneza kwa mwezi?
 
Ulaya ukishinda njaa siku moja unakufa mkuu, usije jaribu kufanya hivyo
 
Sasa mkuu umerudi bongo kufanya nini, au uliacha familia? Huku labda kurudi kuwekeza tu!
 
Ukitaka kwenda huko unafungasha kiroba chako cha mchele kilo 100, unga wa dona na michembe. Maisha safi.
Tatizo mtoa mada hajui machimbo ambayo tunanunua maharage kwenye jagi ....yeye kwa maelezo yakee inaonekana anakaaa masaki ya norway...

Aje huku ndani ndani tunatumia hadi hela za kitzπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜‚
 
Mimi pia nimeshindwa kuelwwa kwa kweli kushindana na watu wanaolipwa kwa saa!!
 
Anaogopa kunyanyapaliwa huyo na hata kupewa msala wa sexual harassment na kurudishwa bongo, unaishi kwa tahadhari zote na bila kujiamini, ndo maana nayaita maisha ya utumwani....
Utumwa wakukosa madem wakizungu?
 
Chumba mill 2 huko ni sawa na huku los Angeles nalipa USD 1000 kwa mwezi..
Mkuu nifanyie mpango nije huko.. maana kila nikiamka asubuhi na angalia account ya bank na PASSPORT yangu kama viko salama na begi nimelipaki karibu kabisa na mlango ,nipo tayari muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…