Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi.

Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG.

Hongereni san Watanzania. Hivi ndo namna wanaolipwa kwa kodi zetu wakitudharau wanapaswa kufanyiwa.

Finyaaaaaaaaa Mafisadi hayo!!!

No Reform No Election ✊️✌️
 
Watu wote wanapaswa wafahamu kwamba, ukiungana na Wadhalimu basi tambua kuwa Wapenda Haki hawatakuwa upande wako.
 
Ccm ipo katika phase ya mwisho ya utawala wake. Dhama za kuwa Ikulu kwa kuhonga Tshet na Propaganda za kijinga zimehitimu. Sasa wanaingia katika phase nyingine ngumu na katili zaidi ambapo Gov itakuwa karibu zaidi na Jeshi kuliko wakati wowote ule.
Depressingly poignant Ccm wapo tayari kuona nchi inawaka Moto (include themselves na Familia zao)kuliko kuachia Nchi.
 
Back
Top Bottom