Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

1000039700.jpg
 
Baada ya kampeni ya no reform no election kushika hatamu kifuatacho ni zomea zomea kwa watakao kuwa wanavaa nguo za kijani.
 
Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi.

Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG.

Hongereni san Watanzania. Hivi ndo namna wanaolipwa kwa kodi zetu wakitudharau wanapaswa kufanyiwa.

Finyaaaaaaaaa Mafisadi hayo!!!

No Reform No Election ✊️✌️
Hawasomi alama za nyakati
 

Attachments

  • NRNE.jpeg
    NRNE.jpeg
    18.4 KB · Views: 24
Wakenya walitudharau sana!
Saivi Wakenya wenyewe wanatuheshimu.

Tunavyoyafinya ma CCM hadi yanafunga comment na kutokomea ni hatari sana.

Alafu sasa CCM saivi wanawekeza pesa ku hire vijana kuwatetea mitandaoni. Yaaani wanazidi kupoteza pesa kwa mambo ya ajabu alafu Chadema wala hawatumii pesa yeyote, ni movement ya Watanzania inawanyanyua.
 
Back
Top Bottom