Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #21
Utafurahi mwenyewe Watanganyika wanafinyaaaa mtu huko balaaa sanaNgoja nikajionee.

Muda unazungumza vizuri sana sasaivi.Hakika muda ni mwalimu mzuri...
Hata wakifunga Watanganyika tutatafuta njia ya kupeana habari.Nafikiri wafunge mitandao yote. Hali ni tete sana
Yaaani tunafinyaaaaaa kweli majizi hayaAna kiherehere sana huyo jamaa
Finyaaaaaaa mpaka wanye
Watanganyika wanapiga spana vibaya sanaKwa sasa ukija na zilipendwa kula spana ni halali yako
Mshaana kutupa uraia wa Kenya sasaivi. Kweli tutawafinyaaa sanaMnafurahia wavuta bangi wa Kenya wanavyowasapoti
Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi.
Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG.
Hongereni san Watanzania. Hivi ndo namna wanaolipwa kwa kodi zetu wakitudharau wanapaswa kufanyiwa.
Finyaaaaaaaaa Mafisadi hayo!!!
No Reform No Election ✊️✌️
Watanzania hawataki masiharaMwambieni Watanzania wameamka sasa
No reforms no election
Uchambuzi wa Simba na Yanga umetuvuruga akili.TRA? 🐼
Nadhani ameshamjua mlevi na mpuuzi ni nani!Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi.