Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Ujumbe utawafikia kwa namna yeyote ile. Watanzania wa leo sio wa jana.Kesho msigwa anakwenda kuwashtaki kwa TRA wafunge facebook
TRA? 🐼Kesho msigwa anakwenda kuwashtaki kwa TRA wafunge facebook
TCRA mkuuKesho msigwa anakwenda kuwashtaki kwa TRA wafunge facebook
Kesho mtasikia TRA wameipa barua facebook kuw hawalipi kodiTCRA mkuu
Fa mchezo nini No Reform No Election imeshawachanganya watu.TRA? 🐼
Msemaji wa Serikali amepost kwenye account yake ya Facebook kuwaita waliosema No Reform No Election kwenye show ya jana ya Bilnas Udom ni Walevi.
Kwa kweli Watanzania wa Facebook wamempelekea moto vibaya sana. Moto huo umemfanya hadi kafunga comment section kwenye post kama hiyo IG.
Hongereni san Watanzania. Hivi ndo namna wanaolipwa kwa kodi zetu wakitudharau wanapaswa kufanyiwa.
Finyaaaaaaaaa Mafisadi hayo!!!
No Reform No Election ✊️✌️
Hawajui tu. Hiki ndo kipindi cha kusimama uhesabiwa. Ukisimama upande wa wadhalimu meza ikipinduka tu imekula kwakoWatu wote wanapaswa wafahamu kwamba, ukiungana na Wadhalimu basi tambua kuwa Wapenda Haki hawatakuwa upande wako.
unajua nn kuhusu hakiWatu wote wanapaswa wafahamu kwamba, ukiungana na Wadhalimu basi tambua kuwa Wapenda Haki hawatakuwa upande wako.
Wabongo wameamka kwa kweli. Hawataki masihara.Wanadhani watu wote ni wajinga kama wanachama wa CCM
Wewe unajua nini kuhusu haki nzi wa kijaniunajua nn kuhusu haki
mm nachojua ni ukiwa maskini ata kidogo ulicho nacho kinatakiwa kuchukuliwa according na maandikoWewe unajua nini kuhusu haki nzi wa kijani