Kwa moto anaopelekewa Msigwa Facebook hadi kafunga comment IG. Hongereni Watanganyika Finyaaaaaa!

Baada ya kampeni ya no reform no election kushika hatamu kifuatacho ni zomea zomea kwa watakao kuwa wanavaa nguo za kijani.
 
Hawasomi alama za nyakati
 

Attachments

  • NRNE.jpeg
    18.4 KB · Views: 24
Wakenya walitudharau sana!
Saivi Wakenya wenyewe wanatuheshimu.

Tunavyoyafinya ma CCM hadi yanafunga comment na kutokomea ni hatari sana.

Alafu sasa CCM saivi wanawekeza pesa ku hire vijana kuwatetea mitandaoni. Yaaani wanazidi kupoteza pesa kwa mambo ya ajabu alafu Chadema wala hawatumii pesa yeyote, ni movement ya Watanzania inawanyanyua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…