Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #121
Akili timamu unazo kwanza?Hao Bravo wamewatoa Coastal Union ambao nyie mlibebwa kwa goli la offside la Baleke,umepigwa 3 na Tabora ndio uje kuwafunga Bravos?Umefungwa na wakimbimbizi nyumbani
Sababu ya kijinga sana hii. Yaani ulitaka Al Hilal wasiweke kikosi kamili? Yanga ilikatazwa kuweka kikosi kamili?Al hilal waliweka kikosi Chao cha ukweli ile x1 yenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa utopolo ni kama fyuzi zimelegea kwenye ubongo tangu vipigo vilivyofuatana
Ilikuwa wapi ututukanie hawa vilandage?ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabora akienda caf atamfunga my wake yangaArgument ya kizembe hiyo
Huku kimataifa uwezo ndiyo unaongea na sio huu ujinga wa huku ligi kuu sasa Tabora akienda CAf atamfunga nani?
Tabora 3 yanga 1Ndiyo hilo ni kweli
Dube na kibu wote ni wazembe na wawajibike!
Mwenzio anadai kibu kwani anacheza peke yake so na dube anacheza peke yake?
Itakuwa aibu kama waliyopata yanga au zaidi kiongozi?I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.
Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.
Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.
Jipangeni ndugu zangu