Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

Hao Bravo wamewatoa Coastal Union ambao nyie mlibebwa kwa goli la offside la Baleke,umepigwa 3 na Tabora ndio uje kuwafunga Bravos?Umefungwa na wakimbimbizi nyumbani
Akili timamu unazo kwanza?
 
Chukua Hiyooo
FB_IMG_17327619704720844.jpg
 
Maajabu ya dunia Alie WA mwisho kwenye kundi Lao anampa ushauri WA Kwanza kwenye kundi lake. Wonder shallow never end😄😄😄
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
I salute you kinsmen
Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja.

Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week chache tu zijazo amini nawaambia.

Simba bado sana na wajipange sana hata hivyo uwezo wao mdogo sana kuweza kufanya vizuri mashindano haya ya luza.

Jipangeni ndugu zangu
Itakuwa aibu kama waliyopata yanga au zaidi kiongozi?
 
Back
Top Bottom