Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira.
Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita. Funga kazi ni pale nusu fainali watakapokutana na Argentina (wanaojua kubana spaces zote) basi tutarajie kilio na msiba kuelekea Rio de Janeiro.
Nawashauri mashabiki wa Brazil waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia. Brazil hii ni nyepesi sana na imejaa watoto laini.
www.jamiiforums.com

Kwa mpira huu wanaocheza Ubelgiji nawashauri wasiende Qatar kuepuka aibu
Naangalia mechi kati ya Misri na Ubelgiji hapa na ninaona hawa Wabelgiji warudi nyumbani kwao kuepuka dhahama kwenye Kombe la Dunia. Beki zinakatika na kutoa maboko, haziwezi kufanya marking wala kukaa man to man. Forward hazifanyi attempt yoyote zaidi ya kupiga back pass. Wameshapigwa 2 bila.