Kwa mpira wanaocheza Brazil na kukata pumzi kipindi cha pili, nawashauri mashabiki wake waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia

Kwa mpira wanaocheza Brazil na kukata pumzi kipindi cha pili, nawashauri mashabiki wake waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia

Kwa hiyo kubana njia wamejifunza baada ya kupigwa na waarabu?
 
Uholanzi wanatimu nzuri sana. Ila kocha wao simuelewi kwa nini anamuanzisha bechi teun Koopmeiners
 
Natarajia kuona kati ya timu hizi; Brazil, France, Netherland na Spain zikifika nusu fainali. Unless otherwise kama kati yao zitakutana kwenye hatua inayofuata ya robo fainali.

Waingereza na Wareno, nawaona kama wachumba tu.
Bahati mbaya wachumba wako bado wapo na kidume chako Spain amepigwa 3 safi sasa wako Madrid mtaani
 
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira.

Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita. Funga kazi ni pale nusu fainali watakapokutana na Argentina (wanaojua kubana spaces zote) basi tutarajie kilio na msiba kuelekea Rio de Janeiro.

Nawashauri mashabiki wa Brazil waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia. Brazil hii ni nyepesi sana na imejaa watoto laini.

Halafu anakuja mtu hapa eti vamoos brazil 😄😄 mwanaume mzima unashabikia timu ya akina mama na watoto 😄😄
 
Ndoto za mchana zinafurahisha,,, ni nani aliyekupa uhakika wa mholanzi kufungwa na Argentina tuanzie hapo maana ushaiona hadi nusu fainali kwa mujibu wa ndoto yako
Kijana leta sura yako hapa
 
First half ashapiga goli nne ulitaka second half aingie tena kukimbizana uwanjani? World cup game zinakuja karibu hakuna muda wa kutosha kupumzika kwaiyo lazima kubalansi pumzi na nguvu pale ambapo hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa unarelax tu.. croatia atafungwa na brazil kilaini kabisa semi final zikikutana na brazil na argentina itakua mechi nzuri sana.. kwa timu za taifa mimi ni shabiki wa itary hatupo qatar ila kwa world cup hii karata yangu namwekea brazil
Dogo uwe unatusikiliza wakongwe. Nimeangalia makombe ya dunia saba.
 
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira.

Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita. Funga kazi ni pale nusu fainali watakapokutana na Argentina (wanaojua kubana spaces zote) basi tutarajie kilio na msiba kuelekea Rio de Janeiro.

Nawashauri mashabiki wa Brazil waandae machozi na vitambaa vya kuyafutia. Brazil hii ni nyepesi sana na imejaa watoto laini.

UPO SAWA ,TATHIMINI YAKO NI SAHIHI.
 
tumerudi aisee. ILA NASEMA HAPA ARGENTINA ANATOLEWA NA UHOLANZI. Ulaya wanacheza mpira wa viwango tofauta na wengine wanategemea sifa za kijinga, majina na ubishoo kama brazil.
Mkuu Argentina ndio mabingwa wa mwaka huu, hawaendi kokote. Mpira wao uko compact sana hivyo watafanikiwa kubeba kombe.
 
Back
Top Bottom